Mwigulu na propanganda za ccm makanisani

Jul 16, 2012
10
13
Toka huyu jamaa awe mbunge ameingiza propaganda za magamba Katika makanisa
KUNA KANISA MOJA LA K.K.K.T HAPA KYENGEGE ambako ndo kata atokayo bwana NCHEMBA limegeuka Kanisa la CCM vikao vyote vya siri vya CCM hufanyika katika KANISA HILI,NADHANI RUSHWA AMEACHA KUWAPA WAUZA KARANGA KAMA ANAVYOFANYA MARA ZOTE SASA AMEHAMIA MAKANISANI;NAPENDA KUUJULISHA UMMA KWAMBA SIKU AMBAYO CHADEMA WALIFANYA MKUTANO NDAGO..BAADHI YA WAJUMBE WA CCM KATA HII WALIKUTANA KATIKA KANISA HILI ASUBUHI MIDA YA SAA 3 WAKIJIPANGA KUELEKEA NDAGO KUHAKIKISHA WANAVURUGA MKUTANO;MWISHO NAPENDA KUSEMA HALI HII YA MAKANISA KUTUMIWA KAMA UCHOCHORO NA CCM HASA BWANA MWIGULU NCHEMBA INASIKITISHA SANA
Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki IRAMBA MAGHARIBI
 
Huyo bwana mdogo siasa imemshinda kabisa, anadhani ata gain popularity kwa kufanya hivyo. wala hatofika mbali haoni wenzake akina Zitto, Makamba, Filikwizombe na wengineo wanavyoendesha siasa zao? hata akieneza hizo propaganda hatoweza kuiyumbisha CDM. Kama hizo propaganda zitaboresha maisha ya waTz hapo sawa ama kama zitakomesha ufisadi sawa na ama kama zitashusha mfumko wa bei sawa ama kama zitaboresha maisha ya vijijini sawa. Yeye aendelee kuropoka tu halafu atashuhudia jimbo likinyakuliwa hivihivi mchana kweupe na bila hata wizi wa kura kama walivyozoea wao.
 
Huo ndoo ukweli....na ukweli unaumaaa....utamwona mwigulu ni mtu mzuri sema sisi tunaeishi nae tunamjui vizuri...huyu jamaa ni mtu mwenye roho mbaya sana
 
Mwanzo ilikuwa vijana wa migodini wamepewa pombe za kienyeji mara walikodishiwa HIACE ikaja nyingine ni vijana wa STEND sasa tena mnaingiza mpaka KANISA TAKATIFU hapana hii haikubaliki DAMU YA YOHANA bado inawatafuna
 
nadhani laana walioipata kila mtu anajua
 
bwana nchemba hafai hafai hafai kabisa na akiendekezwa atawamaliza wengi.
 
mwanzo ilikuwa vijana wa migodini wamepewa pombe za kienyeji mara walikodishiwa hiace ikaja nyingine ni vijana wa stend sasa tena mnaingiza mpaka kanisa takatifu hapana hii haikubaliki damu ya yohana bado inawatafuna

tatizo huelewi mkutano ulifanyika wapi na walioenda kuvuruga mkutano walitoka wapi
mkutano ulifanyika tarafa ya ndago kata ya ndago kijiji cha nguvumali kiwanja cha stend ambacho kipo karibu na kituo cha polisi,hao vijana waliokusanywa toka mgambo ulemo na mgodin walikodiwa hiece ambayo ni ya kiomboi makao makuu ya wilaya ya iramba
 
ni kweli huyu bwana anapitia kanisani sasa,pia makanisa ndo sasahv yanatumika kwa vikao vya ccm kwa sasa,hata kule kinampanda nasikia kulikuwa na vikao vya chama siku chadema wameenda kuhutubia pale,walikuwa kanisa la asemblise of god la kinampanda.haya sasa makanisa ndo hayo ccm inatumia.haya yetu macho,
 
Mungu anachukia nyumba za ibada kuzifanya kuwa vikao vya mambo ya dunia.kanisa hilo lisitarajie baraka za wokovu otherwise watubu
 
Toka huyu jamaa awe mbunge ameingiza propaganda za magamba Katika makanisa
KUNA KANISA MOJA LA K.K.K.T HAPA KYENGEGE ambako ndo kata atokayo bwana NCHEMBA limegeuka Kanisa la CCM vikao vyote vya siri vya CCM hufanyika katika KANISA HILI,NADHANI RUSHWA AMEACHA KUWAPA WAUZA KARANGA KAMA ANAVYOFANYA MARA ZOTE SASA AMEHAMIA MAKANISANI;NAPENDA KUUJULISHA UMMA KWAMBA SIKU AMBAYO CHADEMA WALIFANYA MKUTANO NDAGO..BAADHI YA WAJUMBE WA CCM KATA HII WALIKUTANA KATIKA KANISA HILI ASUBUHI MIDA YA SAA 3 WAKIJIPANGA KUELEKEA NDAGO KUHAKIKISHA WANAVURUGA MKUTANO;MWISHO NAPENDA KUSEMA HALI HII YA MAKANISA KUTUMIWA KAMA UCHOCHORO NA CCM HASA BWANA MWIGULU NCHEMBA INASIKITISHA SANA
Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki IRAMBA MAGHARIBI

Makanisa mengi siku hizi imekuwa ni moja ya miradi ya kuganga njaa za viongozi wake. Hukumu ya Mungu haiko mbali nao.
Usiwashangae kabisa.
 
Huyo bwana mdogo siasa imemshinda kabisa, anadhani ata gain popularity kwa kufanya hivyo. wala hatofika mbali haoni wenzake akina Zitto, Makamba, Filikwizombe na wengineo wanavyoendesha siasa zao? hata akieneza hizo propaganda hatoweza kuiyumbisha CDM. Kama hizo propaganda zitaboresha maisha ya waTz hapo sawa ama kama zitakomesha ufisadi sawa na ama kama zitashusha mfumko wa bei sawa ama kama zitaboresha maisha ya vijijini sawa. Yeye aendelee kuropoka tu halafu atashuhudia jimbo likinyakuliwa hivihivi mchana kweupe na bila hata wizi wa kura kama walivyozoea wao.

Akivuta picha kuwa mpinzani wake mkubwa ktk uchaguzi wa 2015 ni Dr. Kitila Mkumbo nadhani tumbo la kuharisha linambana ghafla. Mwacheni kwani anayo kila sababu ya kutapa tapa.
 
Toka huyu jamaa awe mbunge ameingiza propaganda za magamba Katika makanisa
KUNA KANISA MOJA LA K.K.K.T HAPA KYENGEGE ambako ndo kata atokayo bwana NCHEMBA limegeuka Kanisa la CCM vikao vyote vya siri vya CCM hufanyika katika KANISA HILI,NADHANI RUSHWA AMEACHA KUWAPA WAUZA KARANGA KAMA ANAVYOFANYA MARA ZOTE SASA AMEHAMIA MAKANISANI;NAPENDA KUUJULISHA UMMA KWAMBA SIKU AMBAYO CHADEMA WALIFANYA MKUTANO NDAGO..BAADHI YA WAJUMBE WA CCM KATA HII WALIKUTANA KATIKA KANISA HILI ASUBUHI MIDA YA SAA 3 WAKIJIPANGA KUELEKEA NDAGO KUHAKIKISHA WANAVURUGA MKUTANO;MWISHO NAPENDA KUSEMA HALI HII YA MAKANISA KUTUMIWA KAMA UCHOCHORO NA CCM HASA BWANA MWIGULU NCHEMBA INASIKITISHA SANA
Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki IRAMBA MAGHARIBI

.
Mchungaji wa hilo kanisa kasoma theologia? Na kwa upande wa elimu dunia waweza kutupa CV yake? Maana kama ni kihiyo(kilaza) hakuna haja ya kumjadili kwa kuwa hawezi kupambanua, labda tujaribu kuwasiliana na asikofu wake tumsikie kama na yeye anakaribisha yale ya Rwanda/Burundi kanisani kwake. Wakuu wa kidini epukeni ushabiki wa siasa maana kwa sasa dalili zinaonyesha sisiem wamekata tamaa na kitu pekee wanachotafuta kwa bidii ni kuondoa amani ya nchi. Sasa ninyi kama mtakuwa involved sijui ni nani atakaechukua nafasi ya upatanishi.
.
 
Tatizo ni kanisa linalokubali kutumika na wala sio anaelitumia.Na allegations kama hii ni kwavile imetolewa na mkuima kama wewe ambae kila mtu anajua hujui unachofanya ila ni shutuma nzito sana kwa kanisa.Ila hakuna chakukufanya inabidi tukubaliane na upuuuzi wako,
 
Mwanzo ilikuwa vijana wa migodini wamepewa pombe za kienyeji mara walikodishiwa HIACE ikaja nyingine ni vijana wa STEND sasa tena mnaingiza mpaka KANISA TAKATIFU hapana hii haikubaliki DAMU YA YOHANA bado inawatafuna

brain capacity ni 1kB
 
Back
Top Bottom