Mwigulu Mnchemba leo tu kanifurahisha bungeni

Kimbojo

JF-Expert Member
Apr 12, 2009
387
54
Mwigulu Mnchemba leo bungeni kauliza swali la nyongeza zuri saaana kuliko alivyokuwa anoamba miongozo ya ovyo ovyo kwa spika siku za nyuma. Kauliza hivi; Kwanini serikali isichukue hatua za kidharura ili kubadili kanuni za manunuzi kama ingeweza kufanya hivyo endapo nchi itavamiwa na kuingia vitani ili kununua mitambo ya kuzalisha umeme nchini? pamoja na Adam Malima kujibu , Waziri mkuu alisimama kuongezea majibu.

Kwakweli leo kaosha kuliko siku zzzote alizakaa bungeni. ameanza kuwa kijana bungeni.
 
Nasikia harufu ya KIFISADI tena, hii move ilikuwa planned before, mambo yaleyale mambo ya DHARURA kupindisha sheria , ku justify ununuzi wa mitambo chakavu, inaoekana kuwa hiyo mitambo iko earmarked tayari
 
Yeah yeah, look at this, kama tukitunga katiba,sheria zikawa zinaeleweka kiuchumi na kila kitu hatutakuwa na haja ya kuvunja kanuni very soon, hili swala la kanuni za manunuzi siyo la miaka ya tisini wala nyuma, only a couple of years, watu ni haohao they acted upon vehemently, sasa kubadilisha tena ili ufisadi uhalalishwe! Damn.
 
Mwigulu ni mtu makini, mwaswali na hoja zake huwa makini, kumbukeni wakati anachangia matokeo ya mtihani aliongea vizuri sana, pia alichangia kuhusu walimu na wanafunzi wawekwe kambini ili kuwe na fursa, pia alichangia wanachuo kukopa kwa kutumia vyeti kama dhamana and many other points
 
Mwigulu Mnchemba leo bungeni kauliza swali la nyongeza zuri saaana kuliko alivyokuwa anoamba miongozo ya ovyo ovyo kwa spika siku za nyuma. Kauliza hivi; Kwanini serikali isichukue hatua za kidharura ili kubadili kanuni za manunuzi kama ingeweza kufanya hivyo endapo nchi itavamiwa na kuingia vitani ili kununua mitambo ya kuzalisha umeme nchini? pamoja na Adam Malima kujibu , Waziri mkuu alisimama kuongezea majibu.

Kwakweli leo kaosha kuliko siku zzzote alizakaa bungeni. ameanza kuwa kijana bungeni.

Mkuu sheria ya manunuzi ya umma ya mwaka 2004 inaruhusu ununuzi wa dharura kwa lugha ya walami: Emergency Procurement na kuna taratibu za kufutwa kisheria. Na kwa sasa kwa TAnzania ukosefu wa umeme si dharura tena. Hakuna dharura ya miaka 5 Mkuu!!
 
Back
Top Bottom