Sikonge JF-Expert Member Jan 19, 2008 11,550 6,062 Jun 21, 2012 #1 CCM, mkishaona TUNDU LISSU kashamwaga Cheche, muwatafute hawa jamaa zenu haraka sana na kuwaweka Plaster mdomoni kama siyo kuwaziba kwa Mkono. Mkichelewa.......
CCM, mkishaona TUNDU LISSU kashamwaga Cheche, muwatafute hawa jamaa zenu haraka sana na kuwaweka Plaster mdomoni kama siyo kuwaziba kwa Mkono. Mkichelewa.......
Sikonge JF-Expert Member Jan 19, 2008 11,550 6,062 Jun 21, 2012 Thread starter #3 Kigogo, inabidi iwe hivyo maana vinginevyo, CCM itakwisha kabisa. Nitasikitika sana CCM ikifa maana kinaweza kuwa chama kizuri sana cha UPINZANI. Kigogo said: hahaaaa nimeipenda sana hiyo Click to expand...
Kigogo, inabidi iwe hivyo maana vinginevyo, CCM itakwisha kabisa. Nitasikitika sana CCM ikifa maana kinaweza kuwa chama kizuri sana cha UPINZANI. Kigogo said: hahaaaa nimeipenda sana hiyo Click to expand...