Mwigulu: Jeshi limeapa na kuahidi mbele ya chama (CCM) kukilinda mpaka kufa!

Naona kama napoteza muda kumzungumzia huyu mtu, nachelea nisije taapika bure!! Anaudhi sana. Lakini hajitambui kama mwenyewe ni mmojawapo wa wauuaji wakuu wa CCM. Pengine hii ndiyo sababu tosha ya kumzungumza!!!!!!!
 
Hivi kweli jeshi letu liko tayari kuingizwa kwenye ujinga huu na huyu mad man Mwigulu? Inabidi wamchangamkie haraka sana kwa sababu hasa kama ni kweli anavujisha siri! Je JK Amiri Jeshi Mkuu kamtuma au ni mbwembwe zake Mwigulu? Recently the political developments have turned Tanzania into a country of intrigues!!!!!!!!!
 
Hao ni wananjama na si wanachama wenu kwani wanaishi kwa hofu ya kukosa mkate kama si kupelekwa mabwepande.wanachama wa CCM ni mmafisadi ambao ni wachache kiidadi ukilinganisha na wananchi wote.
 
Yanajiri yaliyotabiriwa nadhani Tanzania sio ya watu flani ni yetu sote, iko siku hao Police watakua wa kwanza kuandamana kwa kua wamewaua ndugu zao wenyewe.
 
Masikio yanasikia mengi!
Natamani kujua mshahara anaonzia polisi aliyehitimu chuo ni kiasi gani! Hivi polisi anaweza kuapa kwa mtu yeyote na siyo amiri jeshi mkuu!
Hakika tutaendelea kusikia mengi; ktk lindi hili ya shule za kata, hospitali zisizokuwa na madawa, barabara mbovu, ukosefu wa maji safi na salama ya kutumia, uhaba wa ajira, wizi wa mali za umma na wale waliopewa dhamana ya kuzilinda. Yaani tutasikia mpaka yasotarajia.

Lakini haijawahi kutokea mwanadamu akamtawala mwenziye milele! Labda ktk hali ya kufikirika na siyo ktk uhalisia.
Kuna siku hao polisi watagundua kuwa wanaowapiga mabomu aur risasi hawana hatia yoyote ile, na wana haki ya kuishi, ndipo sa watasema NO kwa watawala -walevi wa madaraka.
 
Siku zote huwa nikimwona huyu Mwigulu nakua napata picha ya f.ala f.ala m1 hivi.... hovyo kabisa huyu.
 
hao wanajeshi, polisi yaani wanamatatizo mpka wamekoma, Mungu awasamehe awajui walitendalo wao ndo wanalalamika mishahara duni, makazi duni na hao ndo omba omba na wala rushwa wakubwa.
 
images


Baada ya Mahakama Kuu kanda ya Tabora kutengua ubunge wa Igunga, Mwigulu Mchemba amekuwa na mikutano hivi karibuni huko Igunga. Katika mikutano yake ametamka wazi wazi kuwa: "Vyombo vya dola vimeapa kuilinda CCM kwa nguvu zote." Kauli hii nilitegemea ingefanyiwa kazi ingawa mimi nilipoisikia ilinishtua na kuna mmoja alianzisha mada kuhusu hilo hapa JF lakini hatukuitilia maanani sana kwa kufikira ni uropokaji wao uliozoeleka.

Dalili ya mvua ni mawingu, na sasa mambo yanaanza kujionyesha wazi, maana hata waliomo ndani ya mfumo wa dola wasipofanyia kazi kuilinda CCM kuna kila kila dalili ya kushughulikiwa. Je, hiyo ndiyo demokrasia na uhuru wa kulinda amani nchini? Serikali inazidi kujipakaza tope ambalo lina vidudu vinavyoingia ndani ya mwili wake kwani kujisafisha ni kutoa tu tope wakati vijidudu vimeshapenya ngozi yake.
 
Mwambieni mwigulu nchemba operation ya kugonga shaba kwenye shingo kwa watu wanaochukua wake za watu imeanza,akae chonjo anacheza na muda tu "huwezi kuzia baleehe muda ukifika""
 
bwana nchemba wakati mwingine uwezo wake wa kufikiri ni mdogo,hajui kwamba hao wanajeshi weng tu wanaisapoti chadema,haya tusubiri tuone
 
mmmmmh duh kweli bado.tupo wazima tu?
Walio kuka kiapo ni wakuu wa majeshi si jeshi lenyewe na muda wowote ule wanaweza geukwa.
They force to be in power lets wait and see what will come next

kweli mkuu,mwigulu anatetea unga wake wewe unateseka na maisha magumu,watanzania hawatabadilika mpaka kufa
 
Jeshi litafanya kazi nzuri sana maana limeapa kuilinda ccm mpaka ife basi watailinda mpaka ife 2015 hamna shida hata mwigulu anajua inakufa kwahiyo wale waandaaji wa maziko yake wakae mkao wa kupokea mfu. RIP CCM
 
Back
Top Bottom