Mwigulu Azungumzia Ushoga Jukwaani!

MgungaMiba

JF-Expert Member
Aug 28, 2011
999
815
Mratibu wa Kampeni wa CCM, Bw Mwigulu, leo mjini Usa River alipokuwa akimnadi mgombea ubunge wake Bw Sioi Sumari, alizungumzia masuala ya ushoga na masharti tuliyopewa na Waziri Mkuu wa Uingereza Bw Cammeron. Cha kujiuliza ni kuwa masuala hayo yanahusiana vipi na uchaguzi huu? Nini kilimsukuma kuongelea masuala hayo kipindi hiki?
 
Kwamba sumari alishawahi kuhusuka na ukameruni na kwamba anaweza anataka kuyatetea akiingia bungeni
 
Mwigulu sasa anatuletea utata mwigine tena, labda aliagizwa na chama. Ila wadadisi wa mambo wanajiuliza inakuwaje huyu Siyoi akatoge maskio UK kwa Cameron wakati hata bongo wanatoga?? Huenda Mwigulu anafikisha ujumbe
 
mratibu wa kampeni wa ccm, bw mwigulu, leo mjini usa river alipokuwa akimnadi mgombea ubunge wake bw sioi sumari, alizungumzia masuala ya ushoga na masharti tuliyopewa na waziri mkuu wa uingereza bw cammeron. Cha kujiuliza ni kuwa masuala hayo yanahusiana vipi na uchaguzi huu? Nini kilimsukuma kuongelea masuala hayo kipindi hiki?

moja kati ya sifa za kuwa shoga ni kuwa na tabia za kike, na sifa za kike ni pamoja na ktoga masikio na kuvaa hereni. Poleni wana arumeru maana najua mtakubali kumchagua shoga hili iwe rukusa kuoana jinsia moja arumeru sipati picha sijui itakuwaje? Maana ukienda kuomba ardhi tu kwa shoga lazima upukutwe kwanza
 
Jamaa amekanyaga sana kuhusu chadema kuchangisha hela jukwani kuwa ni kejeli kwa wana meru kwani viongoz walitumia helkopita yenye garama kubwa kuliko hela waliochangisha, ndipo akasema kama huko kuchangisha kulitokana na kukosa hela basi ni kwa ajili ya tz kukataa ushoga ambao ulitolewa na pm wa uingereza ambaye ni mfadhili wa cdm in short jamaa amekanyaga mno.
 
Kama mfadhili amekataa hiyo Helikopta ingerukaje? Mbona Kikwete kila siku anaruka na ndege ya kifahari lakini watoto wetu shule tunachangishwa, Hospitali tunachangishwa nk Semeni kweli nini kimemsukuma kuzungumzia Ushoga leo?
 
Bwana Mwigulu kama anataka kumtetea Mgombea wa wake aliyetoboa masikio aseme wazi wazi,sio kuleta mambo ambayo hayahusiani na uzinduzi wa kampeni.
 
Mwigulu sasa anatuletea utata mwigine tena, labda aliagizwa na chama. Ila wadadisi wa mambo wanajiuliza inakuwaje huyu Siyoi akatoge maskio UK kwa Cameron wakati hata bongo wanatoga?? Huenda Mwigulu anafikisha ujumbe

Mwigulu hakumtaka Sioi...pia inawezekana kuleta hii hoja hakumsaidii Sioi Bali kunamuangamiza kwani Kati ya wagombea wote aliyepata kutoga masikio ikiwa ishara ya ushoga ni Sioi.....

Mwigulu Hana nia njema kwa Sioi Kuzusha hili...
 
Hebu nikumbusheni , hivi Tanzania makabila Gani wanaume wanatoga maskio? Tuanze na Wagogo,,,,,,,endelea.Hawa Watoga maskio from creation ni mashoga? wengine hata midomo inawekwa pini. Swala la Sioi kutoga haina mahusiano ya ushoga kabisa. NIambieni pengine ni kumchukia tu na kumfanyia rafu za uchaguzi kama ilivyo kawaida ya nchi yangu, fikra za watu wote ni kuwa siasa ni mchezo mchafu, ndiyo maana hatufiki hapo , mimi ninapofikiria engalau kutoka kwenye tembe.
 
maeneo ya kijitonyama dsm kuna bar inaitwa simba kapakatwa.
naona leo mwigulu,mkapa na siyoi wamewapakata watu baada ya kejeli nyingi
 
Hebu nikumbusheni , hivi Tanzania makabila Gani wanaume wanatoga maskio? Tuanze na Wagogo,,,,,,,endelea.Hawa Watoga maskio from creation ni mashoga? wengine hata midomo inawekwa pini. Swala la Sioi kutoga haina mahusiano ya ushoga kabisa. NIambieni pengine ni kumchukia tu na kumfanyia rafu za uchaguzi kama ilivyo kawaida ya nchi yangu, fikra za watu wote ni kuwa siasa ni mchezo mchafu, ndiyo maana hatufiki hapo , mimi ninapofikiria engalau kutoka kwenye tembe.

mkuu,kama ni kweli siyoi ametoga sikio atakuwa jasiri sana mana ANADUMISHA MILA YA MWAFRIKA NA MMASAI KAMA ALIVO YEYE.wameru pia watoga,wamasai na wataturu.kwa ujumla ni jamii yote ya wafugaji
 
mkuu,kama ni kweli siyoi ametoga sikio atakuwa jasiri sana mana ANADUMISHA MILA YA MWAFRIKA NA MMASAI KAMA ALIVO YEYE.wameru pia watoga,wamasai na wataturu.kwa ujumla ni jamii yote ya wafugaji
Utogaji wa kimila ni masikio yote mawili, tundu zinakuwa kubwa mpaka masikio yanakuwa na Njewe, utogaji wa Sioi ni katundu kadogo kwa ajili ya hereni ya Kishoga, wenzake ambao ni mastaa wanavaa kihereni cha kubana tu, sio kutoga.
 
Back
Top Bottom