Mwigulu aendelea kufunika Igunga

Izo ni mbio za mjusi kwenye sakafu,dola la zima 2chukue,peoplez 2pomakini,CDM 2takua na mkutano mkubwa sana kaka ww jipange kushuhudia, siko tayari kutaja ni lini coz magamba hawakawii kuagiza mabomu mengine.NI mm DIWANI wa OLACITY 2015.
 
Wamemlaki kama mfalme gani, mfalme Juha au?.......................wengi wa hao walioenda hapo wamefuata chapaa maana wanajua kuwa huyo ndo mwenye kugawa fedha CCM pia wengine wameenda ili wamjue vizuri ili zikianza kampeni rasmi wawe makini nae asije ''kuwa-zinzia'' wake zao.

mnyonge mnyongeni ila mshikaji anakimbiza mbaya kabisa!!
 
Duh!! Yaani picha zinapigwa 10 kwenye mkutano mmoja alafu kila siku inawekwa mojamoja kwenye mtandao!! Hakika kama hii ndo akili ilobaki ccm, basi CDM njia ni nyeupe!!

Kijana hacha kutumika!!
 
Duh!! Yaani picha zinapigwa 10 kwenye mkutano mmoja alafu kila siku inawekwa mojamoja kwenye mtandao!! Hakika kama hii ndo akili ilobaki ccm, basi CDM njia ni nyeupe!!

Kijana hacha kutumika!!
Kila mara nasema mnaponzwa na mahaba ya kupitiliza yasiyo na mashiko ndiyo maana mnafumba macho kuukataa ukweli. Aibu kwelikweli. Unasema piccha zimepigwa siku moja, kusoma hujui hata picha kutofautisha huwezi pia?? wewe huoni hata mashati alovaa kiboko yenu Mwigulu moja la mikono mirefu na lingine mifupi? sasa unataka kutuambia alikuwa anabadilisha saa hiyohiyo na kupiga picha?? Acha kujidanganya,, amka.. face the reality. Peopleeeeeee's
View attachment 64900


View attachment 64901
 
Kuhutubia walevi na vikongwe ndio unaita kufunika

mwanzoni mlikuwa mnasema picha za mwaka jana,, sasa mmebadilika mnadai walevi na vikongwe??!! very funny. Mnakimbia vivuli vyenu wenyewe baada ya Mwigulu kuwatoa nishai kufa mtu Igunga. Mtamjua vizuri mwaka huu
 
Jamaa anachana kwa wembe na kuacha vidonda vikali sana kwa watu fulani..............
View attachment 64898



Kweli kama yeye angekuwa na HEKIMA aache MATUSI; UZUSHI... Sababu ni MSOMI, KIJANA ingetusaidia sana KISIASA

Lakini anaendesha MIKUTANO YAKE KWA MATUSI; Hii ya IGUNGA anakaa huko ILI ASIMWAGE UNGA? kwasababu Chekecheo

kali Linakuja CCM-CC
 
Ndugu wana JF sisi kama GT huyu jamaa anabeba akili zetu kwa kutumia mipicha sidhani kama picha ni kiwakilishi sahihi cha kuchangia mada, hapo kuna kitu anakificha nyuma ya pazia kwani lengo letu ni kuchangia hoja na ni muhimu atuwekee maelezo anayotoa Mh. Mwigulu katika mikutano hiyo ili tuchangie na sio kila siku kubandika vipicha.
 
Jamaa anachana kwa wembe na kuacha vidonda vikali sana kwa watu fulani..............
View attachment 64898

Ndugu zangu huyu jamaa asiwatishe hana lolote! Watu wa Igunga wanasema kwamba idadi kubwa ya watu waliohudhuria huu mkutanano walitoka Iramba (Kiomboi, Iguguno n.k) na Nzega kwa kutumia malori mengi sana. Muulizeni swali dogo tu kwa nini kuwabeba watu na malori. Pia wadau wanaseme polisi walikuwa wengi kama vile ni ujio wa Bush. Yoye haya ya nini kama mnakubalika? jaribuni kuangalilia na kujiuliza ni kwa nini watu wanakwenda kwa hiyari yao wenyewe kwenye mikutano ya CDM?
 
mwanzoni mlisema picha za mwaka 2010, sasa mmebadilika mnaongelea ubwabwa!! hahahahaa I mean you people need to grow up you know! Heshima sana.

iyo picha sio ya jana wala juzi,lazima hapo Marlaw na Diamond walishirikishwa,afu mimi ni mtaalamu wa adobe photoshop.una lingine?
 
Back
Top Bottom