Mwigulu aendelea kufunika Igunga

Ukiona mtu yuko sisimu nyakati hzi ujue ni mweu au ni mzee sana ambao akili yao ni ile ya vichanga kula elf 3 tofauti xaxa

sio kweli,ni ushindani tu wa kisiasa.vyama vyote vina wazee,vijana na kina mama/wanawake,ni uvumilivu tu wa kisiasa,haipaswi kutukuna.
 
Magamba kwa uongo hamjambo, hizo picha na wakati wa uachanguzi mdogo mwaka jana, halafu mnasema kafuni. nyie jipeni moyo
 
sio kweli,ni ushindani tu wa kisiasa.vyama vyote vina wazee,vijana na kina mama/wanawake,ni uvumilivu tu wa kisiasa,haipaswi kutukuna.
hizo ndizo busara wanazokosa hawa CDM wamekaa kisharishari tu wakichukua nchi watamwaga damu. Tuwaepuke kama ukoma. Mwigulu kashaonyesha njia tumuunge mkono tu, anawaweza hao
 
attachment.php

Hawa jamaa wataeleweka tu baada ya kugawa chumvi ya 1000/= sukari ya 2500/= na mahindi kg mojamoja kila mwenye kujifanya anajua, tshirt na khanga kwa wingi.
 
Mkuu huo ndo ukweli Nchemba hajapata watu wengi.hata hapa Nkinga watu walikuwa wachache sana.Walivutwa na miziki baada ya kuanza kuhutubia watu walianza kuondoka.
Hapo Nkinga nilitegemea Mwigulu ashikwe ugoni maana hapo pana totoz toka maeneo tofauti Tanzania wanasomea u-nurse
 
Hawa igunga ni wanaume. Hakuna ugaidi kule. Huwezi kukumbatia chama ambacho viongozi wake woote hawjawahi kuajiriwa kazi yeyote zaidi ya ukasisi na disco joker na bar
 


MASIKINI WAKINA LEEMA KULE TABATA WALIONJESHWA JOTO YA JIWE. DAR-ES-SALAAM HAWANA HAJA NA MOVEMENT FOR CHANGE ETI KUIWEKA CHADEMA, MAGUFULI WAENDE NYUMBANI WAKINA GODBYE LEMA NA SUGU NDO WAWE MAWAZIRI KUJA KUJARIBU USANII WA KUONGOZA NJII
 
Jamaa anachana kwa wembe na kuacha vidonda vikali sana kwa watu fulani..............
Nchemba2.jpg
 
Hawa igunga ni wanaume. Hakuna ugaidi kule. Huwezi kukumbatia chama ambacho viongozi wake woote hawjawahi kuajiriwa kazi yeyote zaidi ya ukasisi na disco joker na bar

Umeona eeeh? wale jamaa wajanja kinoma, kila mahali alipotia mguu Mwigulu walijitokeza kwa wingi. Cheki hii jana pale Simbo View attachment 64899
 
View attachment 64842 ni balaa Igunga. Huyu jamaa kawaharibia sana CDM yaani kalakiwa kama mfalme
Wamemlaki kama mfalme gani, mfalme Juha au?.......................wengi wa hao walioenda hapo wamefuata chapaa maana wanajua kuwa huyo ndo mwenye kugawa fedha CCM pia wengine wameenda ili wamjue vizuri ili zikianza kampeni rasmi wawe makini nae asije ''kuwa-zinzia'' wake zao.
 
Acha tu aendelee kuwafunika na waendelee kuwa mbumbumbu. Sisi wa kwetu tunawafunua, tunawaonesha ukweli, tunawaonesha haki iko wapi ili waweze kufanya maamuzi sahihi ifikapo 2015. Na tunashukuru kila anayefunuliwa anaapa kuwa kamwe hatorudia tena kosa alilofanya 2010!

Mwigulu awafunike tu wa kwake hao wachache!
 
Back
Top Bottom