Mwigulu aendelea kufunika Igunga

Unamaanisha kafunika au KAFUNUKA!!??
sioni jipya zaidi ya gharama za kukodi malori kusomba watu.
 
Koffie nilikuwepo ktk mkutano wa mwigulu hapa igunga,...mkutano ulianza vema, watu kiasi walijitokeza, wengi wakiwa na shauku ya kusikia nini hasa kimesababisha kafumu kuondolewa ubunge. Mwigulu alitumia muda mwingi kumkashifu Dr Slaa, wengi hawakupendezwa na hilo, zaidi walishangazwa pale mwigulu alipodai cdm kimeshinda kesi kwa sababu jaji aliyetoa hukumu kazaliwa kijiji kimoja na Mbowe, mbaya zaidi watu karibu nusu ya mkutano walianza kuondoka baada ya mwigulu kuanza kukihusisha cdm na mauaji ya Morogoro na Iringa. Kwa hakika mwigulu na dc kingu hawatasahau aibu iliyojitokeza kwa watu kuwaacha mkutanoni. Najiuliza, ccm kimeishiwa kiasi hiki? Koffie na wenzako km inalipa kujidanganya huku.... keep going!
 
Sasa hii picha si ni ya uongo basi?
 
naona wanafunzi nao wameenda kusikiliza sera,shule zimefungwa tena???magamba bana.
 
Koffie nilikuwepo ktk
mkutano wa mwigulu hapa igunga,...mkutano ulianza vema, watu kiasi
walijitokeza, wengi wakiwa na shauku ya kusikia nini hasa kimesababisha
kafumu kuondolewa ubunge. Mwigulu alitumia muda mwingi kumkashifu Dr
Slaa, wengi hawakupendezwa na hilo, zaidi walishangazwa pale mwigulu
alipodai cdm kimeshinda kesi kwa sababu jaji aliyetoa hukumu kazaliwa
kijiji kimoja na Mbowe, mbaya zaidi watu karibu nusu ya mkutano walianza
kuondoka baada ya mwigulu kuanza kukihusisha cdm na mauaji ya Morogoro
na Iringa. Kwa hakika mwigulu na dc kingu hawatasahau aibu iliyojitokeza
kwa watu kuwaacha mkutanoni. Najiuliza, ccm kimeishiwa kiasi hiki?
Koffie na wenzako km inalipa kujidanganya huku.... keep going!

Mkuu huo ndo ukweli Nchemba hajapata watu wengi.hata hapa Nkinga watu walikuwa wachache sana.Walivutwa na miziki baada ya kuanza kuhutubia watu walianza kuondoka.
 
Fredrik Sanga niamini mimi hapa Igunga jamaa kaendelea kushusha hadhi yake na ccm mno! najaribu kuongea na wazee vijiweni wanaonesha kukerwa sana na namna wana-ccm wanavyowaona wana-igunga kama watu wasio na uelewa, wasio na habari. Mwigulu kupanda jukwaani na kutangaza kuwa jeshi limeapa kuilinda ccm daima ni ujinga, na wananchi wamechukia Well, tuombe uzima tukingoja duru nyingine ya uchaguzi.
 
Hapo mafuso yamehusika sana na wewe gamba coffie ume lipwa ngapi leo au nyumba ndogo ya Nchembe nini!
 
Kweli hakuna marefu yasiyo na ncha. Nani alijua takriban miaka 3 baada ya uchaguzi mkuu CCM wangekuwa wanashindana na chama 'msimu'? better still, nani alijua CCM, chama kilichoshiriki harakati za ukombozi barani Afrika leo hii kingekuwa kinamtegemea mtu kama Mwigulu 'kujitangaza'?
 
Mliooa tanga jiandaeni na mchunge sana wake zenu kitombi/ mfumaniwa daily kaingia mjini barabara ya ngapi vile.......... Hata kwao kwa wala fisi wanyira watumiao lakuchumpa huyooooooooooooooooooooooooo
 
Kuna siku niliandika hapa, kama yale yanayojiita na kuonekana majembe ndani ya ccm ndo yaliyopanda na silaha jukwaani, yakagawa pesa hovyo mtaani, yakatisha wapiga kura, yakapita mtaani na kudanganya Kashindye kajitoa, yakapata kashfa za kuiba mke wa mtu na mwisho mbunge kavuliwa ubunge, ni nani basi atakayesimama hapa siku uchaguzi ukitokea? Watasema kipi hata waeleweke? koffie na wenzako kaeni nyuma ya kompyuta mkijidanganya.
 
Koffie nilikuwepo ktk mkutano wa mwigulu hapa igunga,...mkutano ulianza vema, watu kiasi walijitokeza, wengi wakiwa na shauku ya kusikia nini hasa kimesababisha kafumu kuondolewa ubunge. Mwigulu alitumia muda mwingi kumkashifu Dr Slaa, wengi hawakupendezwa na hilo, zaidi walishangazwa pale mwigulu alipodai cdm kimeshinda kesi kwa sababu jaji aliyetoa hukumu kazaliwa kijiji kimoja na Mbowe, mbaya zaidi watu karibu nusu ya mkutano walianza kuondoka baada ya mwigulu kuanza kukihusisha cdm na mauaji ya Morogoro na Iringa. Kwa hakika mwigulu na dc kingu hawatasahau aibu iliyojitokeza kwa watu kuwaacha mkutanoni. Najiuliza, ccm kimeishiwa kiasi hiki? Koffie na wenzako km inalipa kujidanganya huku.... keep going!

Eliah G Kamwela says thanks for this very useful post
 
no comment
coz wasukuma siku
zote ukiwapelekea malori
ni rahisi kujaza ata uwanja wa
taifa wote........

~tatizo je wanakuelewa unachosema?
~je watakukumbuka tena
~je ukiwaangalia wanakazi mbadala yakutokuepo hapo( shamba basi)
~je mtu wanaye msikiliza ni mstrabu wakueleza hoja za chama chake kama tu ata majukumu ya cheo chake hafanyi?
~ n.k

inauma sana mali ya umma kutumika
vibaya wakati operation line ya lumumba njaa teleeeeeeee

V
SENGEREMA
 
Back
Top Bottom