Mwigizaji maarufu 'Steve Nyerere' achukua fomu za kugombania ujumbe wa NEC ya CCM

Nakaaya mwingine huyu akiangukia pua atajifanya hataki siasa, njaa inamsumbua kajimaliza mwenyewe hata kwenye sanaa atazidi kufulia.
 
C.c.m. Usanii kila mahali that's y. Wamejaza wasanii kila sekta. Ahadi hewa, gharama za maisha juu na ilaaniwe c.c.m. Ife kabisa na watu wote semeni ameen..
 
Kugombea NEC CCM,hiyo nadhani ni unrealistic. Huyu Steven Nyerere ,na nimemsikia siku moja,TLP walimwita. Kulikuwa na watu wengi sana pale,nilikuwa namsikiliza,I couldnot see him,I could just hear the sound,alikuwa anamuiga Nyerere,na the similarity was uncanny. I was laughing. Lakini ukisema kwamba anataka kuingia NEC,mimi naona hiyo ni fantastic. Nilidhani umesema anataka kujiunga na CCM Kinondoni. But then,labda yule mtu anazo abilities ambazo mimi sina habari nazo.
 
Back
Top Bottom