Mwigizaji maarufu 'Steve Nyerere' achukua fomu za kugombania ujumbe wa NEC ya CCM

Dan4d Hamissi

Member
Jul 14, 2012
34
6
Hapo mwanzo sikuwa nikifahamu kuwa kaka yetu STEPHEN NYERERE yupo CCM Lakini imethibitika Leo pale alipokuwa akichukua fomu za kugombea nafasi ya kamati kuu ya Chama hicho wilaya ya kinondoni. Ushauri wa bure ninaoweza kumpa ni kwamba aachane na Chama ambacho hakijaleta mabadiliko coyote tokea kichaguliwe kwa mbwembwe zote mwaka 2005 kwa ahadi hewa za ARI NGUVU NA KASI MPYA but nothing doing!!?? Mwaka 2010 ARI NGUVU KASI ZAIDI Still nothing!!??

Steve wewe ni kijana bado unganika na vijana wenzako kulikomboa taifa hili...
 
Aiseeee babaangu huyo ni gamba sasa ameamua kuweka ugamba wake hadharani
 
Hapo mwanzo sikuwa nikifahamu kuwa kaka yetu STEPHEN NYERERE yupo CCM Lakini imethibitika Leo pale alipokuwa akichukua fomu za kugombea nafasi ya kamati kuu ya Chama hicho wilaya ya kinondoni. Ushauri wa bure ninaoweza kumpa ni kwamba aachane na Chama ambacho hakijaleta mabadiliko coyote tokea kichaguliwe kwa mbwembwe zote mwaka 2005 kwa ahadi hewa za ARI NGUVU NA KASI MPYA but nothing doing!!?? Mwaka 2010 ARI NGUVU KASI ZAIDI Still nothing!!??

Steve wewe ni kijana bado unganika na vijana wenzako kulikomboa taifa hili...

Huyu ni msanii,anagombea uongozi kwa nguvu ya usanii,kama George Weah. It is a free nation. Ni haki yake kufanya hivyo.
 
Hicho chama atakachohamia chenyewe una uhakika kitafanya nini kama siyo yale yale ya LIBYA, TUNISIA na MISIRI.

NAPE kichatutanabahisha bwana nchi itauzwa kwa bei chee sana huko tuendako.
 
Hapo mwanzo sikuwa nikifahamu kuwa kaka yetu STEPHEN NYERERE yupo CCM Lakini imethibitika Leo pale alipokuwa akichukua fomu za kugombea nafasi ya kamati kuu ya Chama hicho wilaya ya kinondoni. Ushauri wa bure ninaoweza kumpa ni kwamba aachane na Chama ambacho hakijaleta mabadiliko coyote tokea kichaguliwe kwa mbwembwe zote mwaka 2005 kwa ahadi hewa za ARI NGUVU NA KASI MPYA but nothing doing!!?? Mwaka 2010 ARI NGUVU KASI ZAIDI Still nothing!!??

Steve wewe ni kijana bado unganika na vijana wenzako kulikomboa taifa hili...

Naona imewakera sana. Hongera sana bwana Nyerere, ww ni msanii lakini una upeo wa hali ya juu ukilinganisha na rapa Sugu. Najua utaleta changamoto kubwa ndani ya vijana wa CCM.
 
Ataisadie ccm kuvuta watu kwenye mikutano yao kwa kuiga sauti za watu ccm wakimtumia vizuri wataachana na sera yao ya kusomba watu
 
Huyu ni msanii,anagombea uongozi kwa nguvu ya usanii,kama George Weah. It is a free nation. Ni haki yake kufanya hivyo.

MSANII mwenye kipaji na upeo wa hali ya juu ukilinganisha na SUGU huyu anaweza kufanya kitu. Ngoja nije nipitie CV zao nilinganishe nadhani NYERERE atakuwa juu.
 
Hapo mwanzo sikuwa nikifahamu kuwa kaka yetu STEPHEN NYERERE yupo CCM Lakini imethibitika Leo pale alipokuwa akichukua fomu za kugombea nafasi ya kamati kuu ya Chama hicho wilaya ya kinondoni. Ushauri wa bure ninaoweza kumpa ni kwamba aachane na Chama ambacho hakijaleta mabadiliko coyote tokea kichaguliwe kwa mbwembwe zote mwaka 2005 kwa ahadi hewa za ARI NGUVU NA KASI MPYA but nothing doing!!?? Mwaka 2010 ARI NGUVU KASI ZAIDI Still nothing!!??

Steve wewe ni kijana bado unganika na vijana wenzako kulikomboa taifa hili...

Mwacheni akawalambe miguu hao nguruwe! Akielimika atakuja huku!
 
Mbona mnakuwa wanafiki sana ccm eti nchi itauzwa, nyie sasa hivi mpo madarakani kwa kiwango gani mnaweza kusema mnalinda rasilimali za nchi, twiga wanaingizwa kwenye ndege mpaka uarabuni ndio mnarinda mali za nchi kweli?, kati ya nchi zinazopata msaada mkubwa duniani kutoka Marekani na sisi tupo pamoja na Iraq na Afaghanistan,je Marekani mnawalipa nini?,acha propaganda za kiujima nyie liwalo na liwe,nyie ndio mnauza hii nchi,propaganda zenu mzicheze kwa akili, watu wanajua nyie ndio mpo madarakani lakini mnaangamiza nchi mmekuwa watu wa kuji-defend tu, sijawahi kuona ccm wanapaki basi kama Mournho hii ndio mara ya kwanza naiona katika siasa za bongo,Steve Nyerere ni gamba la ajabu.
 
Huyu ni msanii,anagombea uongozi kwa nguvu ya usanii,kama George Weah. It is a free nation. Ni haki yake kufanya hivyo.

Sawa Andrew, mwambie mama kile kiwanja chake cha Mbezi beach alikokuwa anafugia kuku enzi hizo sasa kimegeuzwa pango la wahuni wauza gongo ,wavuta bangi ,makahaba na uhalifu wote unafanyika hapo!! Lakini bado kinaitwa kwa jina la mwalimu, kama hamukihitaji wapeni watu wa dini wawajengee watoto yatima kuliko hivi sasa kiwanja kinatia aibu jina la mwalimu! Huyu mlinzi mliyemuweka hapo ndio jambazi mwenyewe anaorganize uhalifu wote wa sehemu hii. Hopefully ujumbe utawafikia.
 
Naona imewakera sana. Hongera sana bwana Nyerere, ww ni msanii lakini una upeo wa hali ya juu ukilinganisha na rapa Sugu. Najua utaleta changamoto kubwa ndani ya vijana wa CCM.

Duuh! yaani nguvu yote hiyo ni kwa ajili ya kujifariji!???
 
Huyo dogo namfahamu sana, kwanza ni ombaomba, nimeshamkuta maeneo kibao akipiga watu mizinga. Ni sawa tuu kuingia ccm
 
Naona imewakera sana. Hongera sana bwana Nyerere, ww ni msanii lakini una upeo wa hali ya juu ukilinganisha na rapa Sugu. Najua utaleta changamoto kubwa ndani ya vijana wa CCM.
Sikutaka kuandika lakini wehu wengine wamenilazimisha kuandika, kweli unaweza kumlinganisha Sugu na huyo Nyerere? au ushabiki unakusukuma utapike pumba
 
Back
Top Bottom