Mwezi wa tisa, CCM kuwa kama pangaea

Jeho

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
5,053
5,503
Hivi karibuni kumekuwepo ndoto mbalimbali juu ya uponyaji wa magonjwa mbalimbali, lakini usiku wa kuamukia asubuhi hii nimeota ndoto ambayo ni tofauti na ndoto za baadhi ya watu waliowahi kuota hasa siku za karibuni.
Ndoto yenyewe ilikuwa juu ya kugawanyika kwa Ccm na hii ikiwa ni katika ule mwezi wa septemba, sasa sijui ndoto yangu ina ukweli ila nausubiri kwa hamu kubwa mwezi wa tisa ili nione kama hii ndoto ilikuwa ya kweli.
 
Ndoto ya namna gani ya kitu ambacho kipo wazi.! Unataka uone nini ili ujue kuwa CCM imepotea? Usitgemee jipya zaidi ya unachokiona kwa sasa!
 
Kugawanyikaa kutatokeaa ila kwa kasi ndogo kwani wengi wao ccm ni wanafikiii haswaaaa. Haina ubishi jk amepaniaa kwa dhati haswaa kumwondoaa lowasa ndani ya uongozi wa ccm yaani unec na ubunge. Rostam ameshatekelezaa mapemaa kwa kujiondoaa kukwepaa siasa uchwara ambazo lowasa anakabiliana nazo sasa.
 
Haiwezi kuwa kamA PANGAEA.....

Pangaea, Pangæa, or Pangea (pronounced /pænˈdʒiːə/ pan-jee-ə,[SUP][1][/SUP] from Ancient Greek πᾶν pan "entire", and Γαῖα Gaia "Earth", Latinized as Gæa) was the supercontinent that existed during the Paleozoic and Mesozoic eras about 250 million years ago, before the component continents were separated into their current configuration.[SUP][2][/SUP]
The name was coined during a 1926 symposium discussing Alfred Wegener's theory of continental drift. In his book The Origin of Continents and Oceans (Die Entstehung der Kontinente und Ozeane) first published in 1915, he postulated that all the continents had at one time formed a single supercontinent which he called the "Urkontinent", before later breaking up and drifting to their present locations.[SUP][3][/SUP]
The single enormous ocean which surrounded Pangaea was accordingly named Panthalassa.
 
ccm haitagawanyika kama pangaea no. ila akina lowassa watatoswa toka ndani ya ccm. na wao hawatakuw ana hoja ya kuanzisha chama kjingine cha siasa...kwa sababu madhara yake ni makubwa sana kwao hususan kiuchumi na kisheria....wakifanya hivyo wanafunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi na wao kuozea ndani...so hakutakuwa na kuvunjikakwa ccm into 2 or more groups no.
 
Nahofu kama wakifunguliwa mashitaka Mwenyekiti (Dr) na yeye atavuliwa nguo na kuwa uchi. je atakubali hii aibu imkute. sijui amejiandaaje anajua mwenyewe.
 
kweli umeota ila chonde chonde mkuu umesahau ule msemo wa mrisho mpoto ..usiwahadithie watu ndoto yako..":-(
 
Hivi karibuni kumekuwepo ndoto mbalimbali juu ya uponyaji wa magonjwa mbalimbali, lakini usiku wa kuamukia asubuhi hii nimeota ndoto ambayo ni tofauti na ndoto za baadhi ya watu waliowahi kuota hasa siku za karibuni.
Ndoto yenyewe ilikuwa juu ya kugawanyika kwa Ccm na hii ikiwa ni katika ule mwezi wa septemba, sasa sijui ndoto yangu ina ukweli ila nausubiri kwa hamu kubwa mwezi wa tisa ili nione kama hii ndoto ilikuwa ya kweli.

Ulipoweka neno "ndoto" umeharibu utamu wa thread maana JF hatuamini sana ndoto.
 
ccm haitagawanyika kama pangaea no. ila akina lowassa watatoswa toka ndani ya ccm. na wao hawatakuw ana hoja ya kuanzisha chama kjingine cha siasa...kwa sababu madhara yake ni makubwa sana kwao hususan kiuchumi na kisheria....wakifanya hivyo wanafunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi na wao kuozea ndani...so hakutakuwa na kuvunjikakwa ccm into 2 or more groups no.
Mkuu Manumbu uwezekano wa aina hiyo ni mgumu maanake mkuu wa kaya ni mhusika, hao maghambas wanaushahidi, sasa huyo Bwana mkubwa atakubali kujiumbua ????????????? Hebu nipe jibu!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom