MWEZI*UJAO; Agenda za Speech ya Mh Rais!

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Ni kawaida kwa Rais kuhutubia wananchi wake kila mwisho wa mwezi, tar 28 Rais alikua na agenda tano, mojawapo ilikua kupanda kwa bei ya sukari.


Kutokana na spidi kubwa ya kupanda kwa bei ya maharage, ni wazi KUPANDA*KWA*BEI*YA*MAHARAGE itakua moja ya agenda mwisho wa mwezi huu.


tumsaidie rais wetu, kama unajua agenda nyingine ya march please endeleza...............
 
Back
Top Bottom