Mwezi mwandamo Afrika Mashariki

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
58
Wana JF, Baadhi ya nchi zimetangaza kuwa leo Jumatatu ni tarehe Mosi ramadhani. Je Afrika Mashariki nakusudia Tanzania, Kenya Uganda na Zanzibar kuna mwenye taarifa za kutangazwa mwezi kuandamana jana? Nakusudia taarifa rasmi kama ya Mufti
 
Hapa Tanzania habari zilitangazwa nchi nzima maana watu wengi Unguja Tanga waliuona mwezi
 
Back
Top Bottom