Mwezi Mmoja Bila Regia (rip)... Je kuna Tofauti?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,724
Mwanajamvi,

Leo hii inatimu siku ya 31(mwezi mmoja) tokea Mpiganaji na mwanajamvi mwenzetu Hayati Regia Mtema(rip) atutoke. Ilikuwa ni tarehe kama ya leo mwezi Januari(14/01/2012) ambapo dada yetu huyu alikumbwa na ajali ya barabarani na kupoteza uhai.

Je, mwanajamvi umegundua mapungufu yoyote, hasa kwenye vikao vya Bunge katika hali ya kukosekana kwa Regia?
Lakini pia, kwa kuzingatia kuwa leo ni siku ya wapendanao(Valentines Day), ungemtumia ujumbe gani Regia(rip)?
 
NAMTAKIA HAPPY VALENTINE HUKOHUKO ALIPO...TULIMPENDA NA MUNGU KAMPENDA ZAIDI!!

heart-1.png
 
I asked God for a flower, he gave me a bouquet, I asked God for a minute, he gave me a day, I asked God for true love, he gave me that too, I asked God for an angel and he took REGIA TO HEAVEN.

Happy
Valentine Day.... REGIA MTEMA!
(R.I.P)

HVD_Bracelet-j95.gif
 
@Sizinga,
Such a lovely and touchy displays of true love!...I hope you mean it from deep down your heart!
 
Heshima kwako PJ, kiukweli gap lake lipo kuanzia jukwaani hasa kwa upodates mbali mbali ambazo zilikuwa ni muhimu kufahamika kwa wakati huo lakini ndiyo hivyo tena.

Bungeni kiukweli siwezi kusema sana lakini mchango wake nilikuwa naukubali, hivyo kwa kumalizia gap la marehemu mimi nalifeel sana jukwaani.
 
Tatizo hakuna mtu amejaza hii gap, mpaka sasa mwezi umepita hakuna unafuu tumepata zaidi ya maumivu ya kumkosa humu na bungeni pia.
Lile tabasamu lake, PJ, hope wewe unajua zaidi.
 
Hii ni wazi kabisa!...
Waswahili walisema jino la pembe si dawa ya pengo!
 
Gap ya Regia hapa JF ni kubwa sana. Na jambo ambalo linanipa uchungu ni kwamba Regia did not live to see mabadiliko ya sheria ya kutungwa katiba mpya yakipitishwa bungeni. very sad.
 
Upande wa bungeni it is too early to tell let alone katika jimbo lake (at least my thought); Hivi amefariki I wish I would have known her kwa ukaribu... really wish that, for mara nyingi napenda saana nijue political Ladies kwa ukaribu, kua nao karibu to the extent naweza mmuuliza maswali mengi niliyo nayo dhidi ya ulimwengu wa Siasa hasa kwa wanawake.

Angekuawepo leo hii... nitakua muongo kama nitasema kuna ujumbe wa Valentine ningemtumia for we were never close but we did acknowledge one another.... I just wish she would have lived longer for i blieve lazima in time i could have made up friends with her.... May she rest in peace....
 
Asha Umepotea sana mpenzi!! Welcome back...The gel is no more!!
 
upande wa bungeni it is too early to tell let alone katika jimbo lake (at least my thought); hivi amefariki i wish i would have known her kwa ukaribu... Really wish that, for mara nyingi napenda saana nijue political ladies kwa ukaribu, kua nao karibu to the extent naweza mmuuliza maswali mengi niliyo nayo dhidi ya ulimwengu wa siasa hasa kwa wanawake.

Angekuawepo leo hii... Nitakua muongo kama nitasema kuna ujumbe wa valentine ningemtumia for we were never close but we did acknowledge one another.... I just wish she would have lived longer for i blieve lazima in time i could have made up friends with her.... May she rest in peace....

well said!!!
 
Najua angekuwa na maswali 2 makuu( ya msingi) kwa PM kwa alhamis zote, ukiachilia mbali maswali ya nyongeza. Naona gap kubwa sana pia humu JF. Anyway may she rest in peace!
 
0011.gif
0011.gif

Ni kama siku chache tu tangu uondoke, bado yaonekana kama umetuaga jana tu..
Maisha ndivyo yalivyo, kila siku ni tofauti hapa jamvini bila wewe.. Hakuna atakaye ziba
pengo lako, bali uliyotuachia yatapunguza ufa. Nimeona jina lako mara kadha ukitajwa hapa
jamvini sehemu mbali mbali. yaonyesha ya kwamba uliwakaa wengi. leo tunafurahia siku ya
wapendanao Duniani. Na pia twakujumisha sababu tulikupenda sana. kama wanavyoosema
mwili haupo lakini mioyoni mwetu upo milele. lala salama mrembo wetu , ulipoendwa na wengi..
R.I.P
Regia

0017.gif
0037.gif

Ni kweli kamanda wetu, kipenzi cha wengi aliacha gap na linaonekana wazi kabisa! Updates za bungeni twazipata kwa wakati? Je hoja zetu humu jamvini zitabebwa na nani tena ili kupelekwa bungeni? Wanajamvi haya ni majonzi makubwa kwetu kwa kupotea kwa kamanda wetu! Mungu amlaze mahali pema peponi Amina!
 
I asked God for a flower, he gave me a bouquet, I asked God for a minute, he gave me a day, I asked God for true love, he gave me that too, I asked God for an angel and he took REGIA TO HEAVEN.

Happy
Valentine Day.... REGIA MTEMA!
(R.I.P)

HVD_Bracelet-j95.gif

Happy Valentine Kamanda R MTEMA Huko uliko!
 
Back
Top Bottom