Mwezi, Mercury, Venus na Jupiter kuonekana kwa pamoja...

Asante kwa taarifa mkuu. This is fascinating. I wish ningekuwa na darubini. As a young child nilikuwa obssesd na sayari, Jupiter na Saturn ziling'aa sana. Saturn na pete yake. Ila sikuwahi ona Mercury so this will be totally awesome.
 
usijali.
Nadhani itaonekana bila hadubini, itakuwa anga la magharibi, wakati wa mawio.
 
Back
Top Bottom