Mweusi apigwa risasi hata baada ya kutii amri ya kunyanyua mikono

Akili yako ilivyojengwa. hivi waliowafanya watumwa hao weusi nani? waliowauwa red indian nani? wanaowapa maradhi afrika kila leo nani? sasa bado tu unataka wawe nice kwa watu wanaotaka kukudhalilisha kila leo?

Hao Waarabu hao, Waarabu washenzi sana hawana ustaarabu hata kidogo tena kwa ushenzi wao ukisoma historia utakuta hata meli ya kwanza iliyopeleka watumwa weusi huko bara la Amerika waliipa jina "JESUS".
 
Aah hawa wazungu its much, nao hao weusi kwa nin wasije huku africa tu tule wote ugal kwa mchicha bhana!
 
Hao Waarabu hao, Waarabu washenzi sana hawana ustaarabu hata kidogo tena kwa ushenzi wao ukisoma historia utakuta hata meli ya kwanza iliyopeleka watumwa weusi huko bara la Amerika waliipa jina "JESUS".
Bora hao kuliko alinayehasi mara baada ya kukutumikisha
 
Wazungu ni watu wema sana hawawezi kufanya hivyo, huyo alikuwa ni Mwarabu.

Wazungu wanaofanya hivyo sio wema, na siwatetei, ila wao wanafanya kama wao na kwa akili zao, sio kama Waarabu wanaofanya kwa sababu wameamrishwa na dini, wanakata vichwa watu wasioendana na dini yao halafu mieusi ya huku Uswahilini inashabikia kwa misingi ya dini.

Sisi tunakemea watu wanaofanya mabaya, awe mzungu au mwarabu.
 
I can notice, the trend is being draged offline

why trending offline? discuss the case on hand please.
 
Kuna watu walilaaniwa na udini, lazima atafute angle ya kuingiza udini kwenye kila hoja.
 
Wazungu wanaofanya hivyo sio wema, na siwatetei, ila wao wanafanya kama wao na kwa akili zao, sio kama Waarabu wanaofanya kwa sababu wameamrishwa na dini, wanakata vichwa watu wasioendana na dini yao halafu mieusi ya huku Uswahilini inashabikia kwa misingi ya dini.

Sisi tunakemea watu wanaofanya mabaya, awe mzungu au mwarabu.

Hao Waislam tena Waarabu wanawaua weusi huko USA kwa rangi zao tu.
 
Back
Top Bottom