Mwenzio akinyolewa ...tabia mbaya!!!

malisak

JF-Expert Member
Mar 16, 2006
694
772
jAMANI KUNA TABIA INANICHEFUA KULIKO KICHEFUCHEFU, UTAKUTA MTU ANA MKEWE HALAFU NA PEMBENI KIMADA KAMA KAWAIDA YA MWAFRIKA.

ANAPOTOKA OUTING NA KIMADA BASI MKEWE AKIMPIGIA SIMU HATA KAMA KUNA DHARURA YA MTOTO KUUGUA ANAKUJA JUU NA KUMPA KIMADA SIMU AMJIBU MKEWE, NA BAADHI YA VIBUSTANI HIVYO HAVIPIGIWI VYACHEZA ATAANZA KUMTUKANA MWANAMKE MWENZAKE NA KUMSHAMBULIA KWA MANENO MAKALI MPAKA MTU AJISIKIE KUA.NA HILO JANADUME NALO LIKIRUDI LITAMSHUSHIA MKEWE KIPONDO KWA MADAI KUA AMEMVUNJIA STAREHE YAKE KWA KERO YA SIMU ZAKE.HIVI JAMANI NYIE MIJITU MNATUOA ILI KUTUTESA KWA MANYANYASO AU KAMA MLIJUA STAREHE HAZIJAWAKOMA WHY MUWANYASENYASE WAKE ZENU????????????/,KWAKWELI TABIA HII INANICHEFUA KULIKO KAWAIDA NI VITENDO VYA KISHENZI.

KAMA ULIONA KIMADA WAKO NI BORA KWANINI USIMUOE YEYE MKISHAWAZALISHA WAKE ZENU TAYARI WANASHUKA THAMANI MTAWAKASHIFU KWA MANENO MABOVU A KUWASALITI,MBONA WANAWAKE HAWAWAPI MABWANA ZAO SIMU WAWATUKANE?,KAMA YUPO ATOE USHUHUDA KWA SENTENSI ITAKAYOANZA NA Q NA KUMALIZIKIA NA X.

NA WEWE KIMADA UJUE KABISA MWENZIO AKINYOLEWA WEWE........................................ KWANI MKEWE AKICHOKA AKAFUNGANYA MIZIGO UKAWEKWA WEWE NDANI JIANDAE UJUE KUNA SIKU NA WEWE YATAKUKUTA MSIONE RAHA KUVUNJA NDOA ZA WATU NA NYIE TAFUTENI WANAUME ZENU WAMEJAA TELE,MBONA WENGINE WANAJITANGAZA KWENYE MITANDAO NA VYOMBO VYA HABARI NA NINYI MTAPATA WENZA WENU MSIFURAHIE KUSAMBARATIKA KWA NDOA NA FAMILIA ZA WATU.
 
jAMANI KUNA TABIA INANICHEFUA KULIKO KICHEFUCHEFU, UTAKUTA MTU ANA MKEWE HALAFU NA PEMBENI KIMADA KAMA KAWAIDA YA MWAFRIKA.

Uumm...you may want to rephrase that....kuwa na kimada/njemba pembeni si kawaida ya Mwafrika....ni kawaida ya binadamu.
 
mwnamke mwenzangu acje kufikiria kunifanyia hicho kitendo hata cku 1, hata kama kaachiwa cm ha huyo hawara yake lakini atumie akili zake za kuzaliwa acjaribu hata sms tu....hapatosha kabisa na ndio ndoa itakufa kibudu....dharau gani hizi?
 
Duniani kuna mambo.

Kweli tabia hizi ni mbaya sana kama kuna mtu anafanya hivi. Ila na sisi wanawake labda tunawafanya wathubutu kufanya upuuzi huu.Angejaribu kwangu hakuna rangi angeacha kuona yeye na huyo hawara yake.
 
ndio muyaone wanawane maana cku hizi soni hatuna zimebakia lushoto tu watu wanajitoa muhanga kama magaidi hivi wanaume mmekwisha?.
 
Duniani kuna mambo.

Kweli tabia hizi ni mbaya sana kama kuna mtu anafanya hivi. Ila na sisi wanawake labda tunawafanya wathubutu kufanya upuuzi huu.Angejaribu kwangu hakuna rangi angeacha kuona yeye na huyo hawara yake.

tATIZO JENGINE NA WANAUME WENYEWE WANAWASUPPORT MAHAWARA ZAO, NA USIOMBE NA MAWIFI WAWE HAWAKUPENDI SIJUI UTAKIMBILIA WAPI
 
pole kwa maswaibu mimi ni mpenzi mkubwa wa hizo small house lakini siwezi kuruhusu mke wangu ajue na siku akijua tu hiyo nyumba ndogo naipiga chini
 
Ukiona mwanaume ana msupport hawara basi ujue hakuna ndoa hapo..tafuta mlango wa kutokea. Wanaume wenye staha lakini wanashindwa kujizuia kuwa na nyumba ndogo, huwa hawaruhusu kabisa hawara kumvunjia heshima mama watoto. Na ikijakujulikana kwa mama watoto huyo baba ataruka kimanga! Atakana kwa miungu wote kuwa huyo siyo hawara yake. Sasa sipati picha ni vipi mai hazband wangu ampe simu hawara eti anijibu! Wanaume nao wanajuaga wanawake wakuwafanyia michezo ya kitoto kama hiyo ndugu yangu! Kuna namba nyingine ni hatari ya danger! Hata hilo penzi la nje ataliona jehanamu!

Haya ya sijui mama mkwe na mawifi kumsupport hawara...huo ni uchaguzi wao wa kujirahisisha na hautaninyima usingizi hata chembe
 
unawaambiaje wanaume wenzio wenye tabia kama hizo?.
 
tATIZO JENGINE NA WANAUME WENYEWE WANAWASUPPORT MAHAWARA ZAO, NA USIOMBE NA MAWIFI WAWE HAWAKUPENDI SIJUI UTAKIMBILIA WAPI

mie hao hawanipagi shida kabisa, mwanaume akim support hawara uje wewe kashakuchoka/kinai hakuna ndoa hapo.
 
pole kwa maswaibu mimi ni mpenzi mkubwa wa hizo small house lakini siwezi kuruhusu mke wangu ajue na siku akijua tu hiyo nyumba ndogo naipiga chini

Issue ikishapowa unavuta nyingine eeh bana eeeh mmmmh
 
Pole kwa yaliyomkuta, kwani huyu mamii bado anaishi na mumewe kwa ajili ya kulea watoto au kwa ajili ya mapenzi na mumewe,
 
Ukiona mwanaume ana msupport hawara basi ujue hakuna ndoa hapo..tafuta mlango wa kutokea. Wanaume wenye staha lakini wanashindwa kujizuia kuwa na nyumba ndogo, huwa hawaruhusu kabisa hawara kumvunjia heshima mama watoto. Na ikijakujulikana kwa mama watoto huyo baba ataruka kimanga! Atakana kwa miungu wote kuwa huyo siyo hawara yake. Sasa sipati picha ni vipi mai hazband wangu ampe simu hawara eti anijibu! Wanaume nao wanajuaga wanawake wakuwafanyia michezo ya kitoto kama hiyo ndugu yangu! Kuna namba nyingine ni hatari ya danger! Hata hilo penzi la nje ataliona jehanamu!

Haya ya sijui mama mkwe na mawifi kumsupport hawara...huo ni uchaguzi wao wa kujirahisisha na hautaninyima usingizi hata chembe

haaa nashindwa kuelewa kabisa hao wanawake wanadanganywa nini na hao wanaume mpaka mtu anapata nguvu ya kuku sms achia mbali call...watu wengine wanapenda kuishi kwa mashaka sana, mie ajue ndio itakuwa mwisho wa amani maishani mwake....atakuwa amefika mbali sana aisee.....wengine tumebakiwa na akili zakuvuka barabara jamani.
 
ukiona mwanaume ana msupport hawara basi ujue hakuna ndoa hapo..tafuta mlango wa kutokea. Wanaume wenye staha lakini wanashindwa kujizuia kuwa na nyumba ndogo, huwa hawaruhusu kabisa hawara kumvunjia heshima mama watoto. Na ikijakujulikana kwa mama watoto huyo baba ataruka kimanga! Atakana kwa miungu wote kuwa huyo siyo hawara yake. Sasa sipati picha ni vipi mai hazband wangu ampe simu hawara eti anijibu! Wanaume nao wanajuaga wanawake wakuwafanyia michezo ya kitoto kama hiyo ndugu yangu! Kuna namba nyingine ni hatari ya danger! Hata hilo penzi la nje ataliona jehanamu!

Haya ya sijui mama mkwe na mawifi kumsupport hawara...huo ni uchaguzi wao wa kujirahisisha na hautaninyima usingizi hata chembe

hata mimi ningechukua 0 zangu lakini mwenzetu kagoma eti wamechuma wote mali,sasa wamechuma hali ni hiyo wangepanda je ingekuaje?,mimi hoi best
 
haaa nashindwa kuelewa kabisa hao wanawake wanadanganywa nini na hao wanaume mpaka mtu anapata nguvu ya kuku sms achia mbali call...watu wengine wanapenda kuishi kwa mashaka sana, mie ajue ndio itakuwa mwisho wa amani maishani mwake....atakuwa amefika mbali sana aisee.....wengine tumebakiwa na akili zakuvuka barabara jamani.

hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na kama akili zenyewe ndio hizo angalia usije ukagongwa na hayo magari barabarani.
 
Hivi kuna wanaume wa hivo? Thats too much... Kama humtaki si umwambie tu muachane???
 
pole kwa yaliyomkuta, kwani huyu mamii bado anaishi na mumewe kwa ajili ya kulea watoto au kwa ajili ya mapenzi na mumewe,

na unaambiwa wana miezi kama 9 wanaishi ki-baba paroko sijui awekwa na nini sasa hapana elewa mpaka sasa?,mimi ningempasua p**b* zake kwanza halafu ndio nikasepa kwani naamini ndio zinazompa jeuri nyambafffffffffffffff.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom