Mwenzetu kajichanganya,tumsaidie kujieleza!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Mke kamnunulia mumewe dozen ya ch*pi i.e boxer zote za rangi ya bluu. {MUME};Akhsante kwa zawadi mke wangu lakini umekosea kidogo,ungenunua za rangi mchanganyiko kwa sababu watu watadhani mimi huwa sibadilishi ch*pi,kila siku navaa ile ile.{MKE};Watu gani hao!?.[Hebu msaidie kujieleza].
 
Ah huyo mwanamke kazuzuninua maksudi kwa lengo hilo analolihofia dume

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
wkati wa kuanika baada ya kuzifua kila siku itakua inaoneka boxer ya blue hasa kama umepanga nafikiri hiyo ndiyo ilikua issue hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom