mwenzenu nimefiwa na bibi

Bibi yetu Mwenyezi MUNGU amlaze mahala pema peponi!

TULIMPENDA ILA HAKIKA MWENYE UWEZO KTK MBINGU NA NCHI ALIMPENDA ZAIDI!
 
Mie Nina mipresha my love B52 anaoa kaniacha na mtoto mdogo.

no! Erickb52 hawezi kukuacha kirahisi hvyo kwa kua wewe kwake ni zaidi ya kitu chochote,naamin yupo bize kutafuta chapa siunajua tena life is hard we must be harder!
 
Last edited by a moderator:
no! Erickb52 hawezi kukuacha kirahisi hvyo kwa kua wewe kwake ni zaidi ya kitu chochote,naamin yupo bize kutafuta chapa siunajua tena life is hard we must be harder!

Basi hujaliona tangazo la kuahirishwa kwa harusi yake na Preta.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom