mwenzenu nimefiwa na bibi

Pole sana mamito! Kazi ya mola haina makosa yeye ndiye muweza wa yote! Tulimpenda MOla kampenda zaidi! RIP bibi yetu mpendwa!
 
Nashukuru kwa taarifa mkuu, na pole sana kwa msiba. Hebu kisome hiki kmbaumbau Madame B kinavyompotosha babu hapa chini. Nlikuwa nshafika Africana, ngoja nigeuze zangu nikakazie swaumu maeneo ya Sinza.

ahsante sana mkuu wangu, Madame B bado ananimezea mate,akiniona huwa ana vibrate mpaka unaweza kumuonea huruma
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mamito! Kazi ya mola haina makosa yeye ndiye muweza wa yote! Tulimpenda MOla kampenda zaidi! RIP bibi yetu mpendwa!

ha,ha,ha,ha dah Ruhazwe mara hii nshakua mamito, KARIA nshapoa mkuu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom