Mwenzenu naumiaaa!!!

NIWA

New Member
Jan 10, 2011
4
0
Ndugu zangu wana JF mwenzenu niko kwenye hali mbaya, ni miezi michache imepita nilipata mpenzi ambaye nilijikuta kumpenda baaada ya kuvutana sana , maana yeye alipokuja kwangu nilimueleza jinsi nilivyoumizwa huko nyuma na kwamba kwa kweli siamini kama ananipenda, pamoja na vipingamizi vingi nilivyompa akanihakikishia kabisa kuwa yeye hakika ananipenda kwa pendo la kweli. Basi nikajikuta naingia kwenye mapenzi, hivi juzi akasafiri kuja huko nyumbani maana tuko ugenini tunasoma, tangia afike nyumbani hakuna mawasiliano yoyote nilyopata nimejaribu kuandika email maana sina namba ya simu hajibu. Na sina jinsi nyingine ya kumtafuta maana huko nyumbani simfaham hata rafiki yake. Je ndo nimeachwa?? au mpenzi wangu amepata shida gani sielewi nahisi kuchanganyikiwa tu.
 
Dada Tulia Bongo hakuna umeme tangu mlivyoondoka kwenda Kusoma!nahisi hawezi kucharge simu maana ni ngumu sana kupata Solar!!

By the way,don't be pessimistic NIWA , its too early to judge the guy!!Subiri Jipe moyo na amini anakupenda until u prove otherwise!!!
 
"Je ndo nimeachwa?? "

Kama ni juzi tu amesafiri, isnt this kind of thinking a little premature ?Kama ametoka mbali then factor in a few days for her to settle,catch up and bond with her family. Hata hivyo kwani didnt you guys discuss how you 'll be staying intoch before she left??
 
Pole sana dada huko bongo alimuacha mtu... wewe wa ughaibuni na bongo ana kuku wake wa kienyeji saafii :washing:
 
vuta subira dada,ila kama anakupenda utajua tu,na kama hana mapenzi na wewe utakuja kujua tu.kama mnasoma si atarudi huko ugenini? ila be careful,
 
Mmmhhh
hivi hili neno "i love u"
Kwa nini watu wanapenda kulitamka
Hovyo hovyo...
some time mtu anataka one night stand
Lakini anakwambia i love u..
mtu hakujui ndo kakuona mara ya kwanza anakwambi I love u
khaaaa
(Ok don't be smart, I love u ninayoongelea ni kati y
msichana na mvulana wanapotakana kimapenzi)

Haya ndo matatizo
Ya "I love u , with no action"
 
Pole mama ila kuwa mvumilivu tu kwani kama umesema ameenda likizo basi nina uhakika atarudi na utamuuliza vizuri kulikoni na next time ni vyema ukajua ndugu zake au hata rafiki zake wawili watatu ili hali hiyo isijitokeze tena.Kwa muda huu tu naomba kama utapata mkongo yeyote muombe akutafasirie kipande hiki cha muziki na hata kama hutapata siku yeyote ile ulizia maana yake na I wish you all the best katika kujiliwaza.

Sultan de brunei, by JB Mpiana.
 
hiki kitendo cha kufunguka sana kina madhara. Mtu anasema nimeshaumizwa sana kimapenzi unategemea nini?
 
Kaoa huyo kaja kuona familia na kapigwa BAN ya komunikesheni kwa sasa vumilia ndo ushaumizwa tena shida yetu wadada/mama tunapenda kutumia moyo wenzetu wanatumia macho hata ukiodnoka hajali macho yatapenda fasta
 
pole sana uwe makini sana na mapenzi ya kukutana shule ila kiujumla bado hatujui yamemfika yepi endelea kuvuta subira!!labda atatokea!
Ndugu zangu wana JF mwenzenu niko kwenye hali mbaya, ni miezi michache imepita nilipata mpenzi ambaye nilijikuta kumpenda baaada ya kuvutana sana , maana yeye alipokuja kwangu nilimueleza jinsi nilivyoumizwa huko nyuma na kwamba kwa kweli siamini kama ananipenda, pamoja na vipingamizi vingi nilivyompa akanihakikishia kabisa kuwa yeye hakika ananipenda kwa pendo la kweli. Basi nikajikuta naingia kwenye mapenzi, hivi juzi akasafiri kuja huko nyumbani maana tuko ugenini tunasoma, tangia afike nyumbani hakuna mawasiliano yoyote nilyopata nimejaribu kuandika email maana sina namba ya simu hajibu. Na sina jinsi nyingine ya kumtafuta maana huko nyumbani simfaham hata rafiki yake. Je ndo nimeachwa?? au mpenzi wangu amepata shida gani sielewi nahisi kuchanganyikiwa tu.
 
Pole sana hujaachwa wala nini, labda yupo sehemu ambayo mawasiliano ni tatizo!
 
Dada Tulia Bongo hakuna umeme tangu mlivyoondoka kwenda Kusoma!nahisi hawezi kucharge simu maana ni ngumu sana kupata Solar!!

By the way,don't be pessimistic NIWA , its too early to judge the guy!!Subiri Jipe moyo na amini anakupenda until u prove otherwise!!!

JF ina vipaji na manabii:

Mkuu ulijuaje kama huyu muumizwa ni mwanamke?
 
Ndugu zangu wana JF mwenzenu niko kwenye hali mbaya, ni miezi michache imepita nilipata mpenzi ambaye nilijikuta kumpenda baaada ya kuvutana sana , maana yeye alipokuja kwangu nilimueleza jinsi nilivyoumizwa huko nyuma na kwamba kwa kweli siamini kama ananipenda, pamoja na vipingamizi vingi nilivyompa akanihakikishia kabisa kuwa yeye hakika ananipenda kwa pendo la kweli. Basi nikajikuta naingia kwenye mapenzi, hivi juzi akasafiri kuja huko nyumbani maana tuko ugenini tunasoma, tangia afike nyumbani hakuna mawasiliano yoyote nilyopata nimejaribu kuandika email maana sina namba ya simu hajibu. Na sina jinsi nyingine ya kumtafuta maana huko nyumbani simfaham hata rafiki yake. Je ndo nimeachwa?? au mpenzi wangu amepata shida gani sielewi nahisi kuchanganyikiwa tu.

Vumilia tu huku nyumbani matajiri tu ndo wanafaidi huduma ya umeme ndo wenye majenereta yaani mgao ni full umeme unarudi saa 5 usiku kisha saa 1 asubuhi wanakata sasa c@fe ya nani ataikuta ipo wazi saa 5 usiku? we vumilia tu mwenzio nae anaumi hivyo hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom