it will pass with age, dont worry, just pray that the scars will not be so bad, or you will still be around to enjoy the adult age.Asante..but how do i improve my character??make myself better???
We all passed the age of thinking that the world revolves around us. But mazingira yalikuwa safe, watu walituchukulia kama watot wao. Si leo, wakikuona tu wanajua ni cheap na kukutumia kwa muda wanaotaka.
Inaelekea either hukufundishwa charity na humulity utotoni, ulikuwa special baby, au ulikuwa neglected,. Any how hakuna wa kulaumu, sasa kazi ni kwako dunia ikufunze, huwa ndi hivyo tu. Hakuna jipya. Hautakuwa wa kwanza wala wa mwisho.