mwenzenu me mgeni!

duh, kuna wana jamvi humu wakarimu kweli kupokea wageni - mmhhh inanitia wasiwasi... School mate Chrispin na masanilo siwasemi nyie!:smiling:
 
Hahahahahaha siku hizi niko makini kuna njemba zinakuja kimtindo wa majina ya kike hahahahahahahahhh umenisoma eeehh
 
Nashukuruni kwakuni karibisha kaka chrispin na wengine wooote ahsante ndo nshakaribia Dada Birigita value wala kilevi chochote situmii mei mtoto wa ustaadh na Muislam mzuri tu hata hvyo nipe maji yanatosha
 
You are warned, that is name calling!!
kwenye ustaadh, ndo nimepapenda zaidi, karibu halua na tende! ngoja nimwangalie bi mkubwa huku uwani!!
 
Back
Top Bottom