Mwenzenu Kucha ndefu vidoleni, macho mekundu na 'kifua' cha haja, mhhhhhhhhh!

MMh,jamani kweli kila mtu na anachokipenda lakini wewe mwenzetu unamtaka mwenye macho mekundu sasa avute bangi,au atie pili pili manake duh! haya weeeeeeeeeeeeee!!!! ukimpata mwenye sidfa hizo ebu tuwekee picha yake manake kila nikivuta picha haitimiii.....
 
heheh hapa shwari kuliko ikulu, halaf jana nilikuota unanipigisha mswaki, lahaula ! nashkuru limbwata haliambukizi ukimwi khaaaa!
Haaaa haaa haaa,
Mbona hailuwa ndoto!
Ile live kbs mbona,
Ww tu na mzuka wako ukajua unaota lol!
 
Nauweka ukweli hadharani! Mwenzenu mwenye kucha ndefu na za rangi, macho mekundu na 'kifua cha haja' na 'usafiri' unaohanikizwa na mgongo wa kubinuka, hata ghorofa ntamjengea. Huwa sijiweeeeeeeeeezi kabisa na kila kitu ntakachoombwa ntakitimiza. Nihurumieni jamani kwani huwa inanibidi nifanye kazi kwa bidii zaidi ili nisije nikavikosa vitu hivi kwa kuibiwa na mafisadi wa mapenzi.

Mweeeeeeeeee!

Umjengee gorofa wewe una hata kibanda au unatoa ahadi kama za ccm zisiyotimilika
 
Looks like leo kuna mtu kammiss Ndyoko naona thread zake nyingi zinafukunuliwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom