Mwenzenu hii mimba.......!

Heee Da Sophy anaexpect hongera mwaya. naomba nipropose jina la mtoto akizaliwa please please please angalau lianzie na herufi gani.
 
Da Sophie baba mtoto ni yule mume wa mtu! mmmmh................umeamua umshikilie mume wa watu kabisa kabisa sasa.
 
Da Sophie baba mtoto ni yule mume wa mtu! mmmmh................umeamua umshikilie mume wa watu kabisa kabisa sasa.
Alaa ndo manake hiyo we huoni akimuomba mke mwenzia amvumilie tu mpaka akishusha mzigo! Da ila we da Sophy kiboko! U call a spade as spade not big spoon!
 
da sophy we kiboko! hivi huyo mke wa mwanaume wa mtu yupo hapa jf? haya hongera mwaya!
 
Kimey nilishangaa naona FL anamuambia amwambie achukue likizo hasa ..................sasa hii leave of absence aiombe kwa mke wa ndoa akisema kuwa anaenda kukaa kwa kimada au?

kweli dunia hadaa!
 
Yaani ni inamtaka babake kila dakika, hadi sasa nimesema kama noma na iwe noma. Mwenzangu nivumilie tu bado miezi 4 nitashusha inshaallah. Mtoto wa mwenzio ni mwanao.
Sikujua kama mke mwenzio yuko hapa JF. hebu soma ushauri wake hapa.
hahaha mwambie Baba mtoto aombe unpaid leave ya miezi minne mkae home mateso ya nini tena?
Na ukaufanyie kazi.....malabuku!!
 
Asprin .................siku Da Sophie alipokuja kutoa taarifa kuwa amemuweka kiganjani mume wa mtu ilikuwa wazi kuwa huyo Mkewe mume yumo humo humo.

sasa leo ujumbe mpya ni kuwa mimi pia nitamzalia watoto kama ulivyo zaa wewe
 
Unakumbuka nilikushauri usomee taaluma gani?
 
heheh Aspirin bwana .................

JF hasa raha ina reality Tv hapa hapa.
 
heheh Aspirin bwana .................

JF hasa raha ina reality Tv hapa hapa.
Tatizo hunigongei kale ka apetaiza kangu....! Hahahahahaha! Enewei, nimekutunukia zawadi. Huamini? Hii hapa!

The Following User Says Thank You to Gaijin For This Useful Post:

Asprin (Today)​

Now.....:focus:
 
Na kwa Inda tu na Tashtiti lazima Da Sophie azae jina la baba wa mume ......................halo haloooo

( na hilo jina lazima iwe mke wa ndoa alikataa na kusema limepitwa na wakati) :lol:
 
Na kwa Inda tu na Tashtiti lazima Da Sophie azae jina la baba wa mume ......................halo haloooo

( na hilo jina lazima iwe mke wa ndoa alikataa na kusema limepitwa na wakati) :lol:
Dah! We Gaijin wewe! mbona watutesa watoto wa wanawake wenzio! Anyway ngoja niikonsalti TUKI yangu hapa!
 
Back
Top Bottom