VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Mimi najisomesomea nyaraka za siri za Serikali ili niandike makala gazetini. Mwenzangu je?
narud zangu hm! daladala inahucka sana hapa. . .
Kuna ***** nausoma sasahivi, natoa comment ya *****. Nabonyeza 'submit reply'.
Swahiba umeandika nini hapo, mbona naona nyota nyota?
duh, kumbe ningejua nisingekuwa nauli.........mimi ndio konda niliyechukua nauli yako...
Na hii je?..mie niko tu gheto nasoma Thread zenu..hasa hii uliyoandika...
nimesahau swahiba, naona nimewekewa vinyota nyota ila niliandika maneno.
Kwasasa naanza na mafaili yaliyobaki jana ofisini. Mwenzangu je?