Mwenzake anajifunika shuka mapema.

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Jamani kisa hiki kimemkuta dada mmoja aliyeko ughaibuni, naomba tukisome na kukielewa.
Leo yeye, kesho wewe.

mimi nilisha wahi kuwa na boyfriend
ambaye alinitoa usichana wangu,kweli yule
kaka alikuwa ananiandaaa vizuri pamoja na
uwoga wangu,maana ndio nilikuwa mara ya
kwanza lakini kuniandaa kwake kulinifanya
nisisikie maumivu makali kama wasemavyo
kuwa kuna maumivu wakati wakutolewa
bikira,bahati mbaya tulitengana wakati wa
kuendelea na elimu ya juu,mimi nikaja ulaya
kimasomo nayeye akabaki.
Sasa,kweli nimekutana namtu ambaye kwa
kweli nampenda saana ila tatizo lake lipo
kitandani,kwanza ni nadra sana mimi
kumuona uume wake,hataki hata tuoge
woote,anajifichaficha tuu,ila saa nyingine
nalazimisha nikimuona ameingia bafuni
naingia na mimi kwanguvu ila hataki
anakuwa mkali,anasema eti mi napenda
mambo ya kitoto,akipanda kitandani
anajifunika upesi tena yupo na bukta,swala
la kuandaa mwanamke hajui kabisa.
Saa nyingine namwambia kabisa mimi
napenda unishike hapa au unifanye ivi
anakuwa mkali eti mi sikui nipo kitoto tuu
sikuzote,mara ya kwanza nilidhani labda
sababu hatujazoweana nikawa navumilia
lakini nimejaribu kumsaidia haelekei
kusaidika,hata mi nikitaka kuchezea au
kushika uume wake hataki yaani tukiingia
kitandani utazanai mtu na kaka yake.
Yaani yeye sijui anapataje hisia za
sex,nakuja kustukia tuu ananipandia juu na
uume wake umesha simama wakati huo
mimi sipo tayari kwa tendo basi anaanza
kunitumbukizia tuu,uke mkavu kabisa na
baki naumia tuu,namuambia naumia jamani
nipo mkavu,wala hasikii yeye anaendelea
tuu,mpaka atakapo maliza,kweli nateseka
sana mpaka navimba uke kama sikumbili au
tatu hivi nipo nauguza uke.sioni raha ya
tendo hilo kabisa.
Nampenda sana,mwanzo sikuona kama ni
tatizo nilijuwa ntaenda nae taratibu
nikimfundisha then atanielewa ila sasa
nimekata tamaa.
Natamani sana angesoma safuu
hii,ingemsaidia sana.
Naombeni ushauri mana nimefikia hatua ya
kuachana nae.maana sina raha ya tendo la
ndoa.
Mdau
Happy Wa Mama
 
hajakatwa, mambo hayawezi halafu kiburi. Kama hataki kujifunza utamsaidiaje? Uamuzi ni wako, uendelee nae ubakwe,au umwache
 
pole, kazi hapo unayo, lengo la mapenzi ni kuridhishana katika tendo, kama hilo halipo basi mapenzi hayapo,
 
Nilipata kusikia kuwa wapo wanaume wengine, mitarimbo yao ni kama "Aerial ya Radio"
Labda huyu naye ndiye. That's why anajificha ficha!
 
Pole sana kwa dada Nazjaz kuuguza uke ila mi naona ana uume wa nanna yake yaani labda aliungua ukawa mbaya baada ya kupöna au aliugua ugonjwa ambao uliharibu nyeti zake au kuna kitu kingine kinachofanya uchi wake utishe ndo maana anakufichia na anaogopa ukiona unaweza ukawa mtazamo tofauti nae na kusababisha kukosa hamu ya kushiriki nae na inawezekana alishamuonesha msichana wake wa awali na ikapelekea kuachana au inawezekana kuwa mshamba na mambo ya kitandani ni kutokana na kuficha siri ya uchi wake.Mi namjua mtu aliyekuwa na disorder ya namna hiyo inamgharimu hadi leo hii kwenye mahusiano na kumlazimu awe na wachumba kibao pasipo kuwamega.SIKU MOJA NITAFUNGUKA JUU YA HILI.
 
Ninaamini maelezo aliyotupa sisi humu akimpatia huyo jamaa yake kwa kutulia kabisa ataelewa tu.Hata kama ndizi yake haijamenywa si busara kuificha.Azungumze nae vizuri tu.
 
dah asee pole sana ila....! nadhani umesema umempiga chini tayari so jaribu kutafuta kitu kingine cha ukweli au viip
 
mwache huyo ,hii dunia siyo ya kuhangaika na mtu kwny mapenzi kwn ni mumeo mpaka uhangaike naye hivyo?
utahangaika naye hlf mwisho wa siku atakutema vile vile.
 
ndo tatizo la kutafuta vibabu vya kizungu! haya sasa, outings mtapelekwa tena za double tree/hilton, ila ndo hivyo! muambie ashikilie lengo,si hamuwataki kaka zangu wasiokuwa na mahela?
 
Back
Top Bottom