Mwenyezi mungu kweli anaumba! tusichoke kumshukuru kwa kazi yake!

Tatizo lenu hap mtasema mchina.
avatar30529_2.jpg
 
Wakati mwingine nadhani ina makosa kwanini ametupa utajili wa maliasili lukuki lakini hatupi watu wakutuongoza tukatokana na janga la umaskini?
. Anataka tuendelee kumwabudu yeye ili atujalie pepo! kwani umesahau ule msema kuwa tajiri kuingia peponi ni sawa na ngamia kupenya katika tundu la sindano?
 
Back
Top Bottom