Mwenyenyumba!!

STRESS ni tatizo kubwa kwa baadhi ya watanzania:

Dalili zake ni pamoja na:

1. Kula sana au kukosa hamu ya kula.
2. Kuwa mkali sana au mpole sana bila sababu.
3. Kulalamika lalamika ovyo.
4. Kumuona kila mtu anachangia uwepo wa shida zako.
5. Kuhudhuria kituo cha tiba mara kwa mara bila kuwa na ugonjwa rasmi. Ukiambiwa vipimo vinasema huna tatizo,hukawii kuhamia kwa waganga wa kienyeji ama kituo kingine.

MADHARA MAKUBWA NI PAMOJA NA:
1. Kujiua.
2. Kuota mvi mapema.
3. Kujiona wewe NI BORA NA UNAJUA ZAIDI KULIKO WENGINE.

Bora mimi kazi yangu kuingia jf, nasoma thread za watu nacheka then nasepa kimyakimya bila kuacha ushahidi kwamba nilipita. Tehe tehe!!
 
STRESS ni tatizo kubwa kwa baadhi ya watanzania:

Dalili zake ni pamoja na:

1. Kula sana au kukosa hamu ya kula.
2. Kuwa mkali sana au mpole sana bila sababu.
3. Kulalamika lalamika ovyo.
4. Kumuona kila mtu anachangia uwepo wa shida zako.
5. Kuhudhuria kituo cha tiba mara kwa mara bila kuwa na ugonjwa rasmi. Ukiambiwa vipimo vinasema huna tatizo,hukawii kuhamia kwa waganga wa kienyeji ama kituo kingine.

MADHARA MAKUBWA NI PAMOJA NA:
1. Kujiua.
2. Kuota mvi mapema.
3. Kujiona wewe NI BORA NA UNAJUA ZAIDI KULIKO WENGINE.
wewe una akili
 
wewe una akili

Tehe tehe tehe !
Thanx mkuu.
Huwezi kuijua akili ya mtu hadi uwe na akili.
Lakini bahati mbaya chizi akikutana na chizi mwenzake wanachekana,kila mmoja anamuona mwenzake ndo chizi ila yeye ni mzima...KUMBE WOTE NI SCHIZOPHRENICS.
 
Tehe tehe tehe ! Una akili wewe, ungesomasoma kidogo ungekuwa prezda !

Umeona eeh? Tatizo kijijini kwetu ukijifanya unasomasoma kuna babu anakuhamishia kwake unamsaidia kupalilia shamba la mihogo usiku. Aliyesoma sana ni mtoto wa mwenyekiti wa kijiji. Kamaliza la tano.
 
Lazima uwe na wasiwasi na akili yako kwa kuwa hata huelewi
umeingia Jukwaa lipi! Huu ni utani, na kila mtu ana mtazamo
wake katika kuwasilisha au kuunogesha utani, siwezi kufikiri
unavyofikiri...

Mkuu Baba askofu mbona umekuwa mkali? Wala sikupinga uloandika.
 
STRESS ni tatizo kubwa kwa baadhi ya watanzania:

Dalili zake ni pamoja na:

1. Kula sana au kukosa hamu ya kula.
2. Kuwa mkali sana au mpole sana bila sababu.
3. Kulalamika lalamika ovyo.
4. Kumuona kila mtu anachangia uwepo wa shida zako.
5. Kuhudhuria kituo cha tiba mara kwa mara bila kuwa na ugonjwa rasmi. Ukiambiwa vipimo vinasema huna tatizo,hukawii kuhamia kwa waganga wa kienyeji ama kituo kingine.

MADHARA MAKUBWA NI PAMOJA NA:
1. Kujiua.
2. Kuota mvi mapema.
3. Kujiona wewe NI BORA NA UNAJUA ZAIDI KULIKO WENGINE.

madhara yake mengine ni kujambajamba sana
 
These are stories of a child, we are adults now beg all those with oral as these hold special blog just for their own, others here have labor costs of electricity, our country is run locally arbitrary, our leaders do not have this or that, food prices increased substantially, many poor Tanzanians, steal our resources, long queues for those who live in dar, rising living costs such as transport, fuel, rent, etc. So my advice is that we should not take JF is part of the story of a child and not surprised the one who brought this matter is an adult and has a family of wife and children. There are many things which make for progress in the nation, we must will consider and not these in the ceiling. Have a positive attitude(I am sorry if offensive)@SALEH SULE

Kama yote haya unayafahamu kwanini wewe usitekeleze ukijuacho? Hapa kwenyewe unaonyesha mapungufu yako unafanya unachokikosoa, na zaidi ya haya sehemu hii ndio mahala sahihi kwa mambo ya namna hii! Usifanye kila jambo ni siasa!
 
Hahahahahaaaa...umesema kweli mkuu...baada ya watu kupasuana vichwa kule;tunakuja kuburudika hapa!!!!
 
These are stories of a child, we are adults now beg all those with oral as these hold special blog just for their own, others here have labor costs of electricity, our country is run locally arbitrary, our leaders do not have this or that, food prices increased substantially, many poor Tanzanians, steal our resources, long queues for those who live in dar, rising living costs such as transport, fuel, rent, etc. So my advice is that we should not take JF is part of the story of a child and not surprised the one who brought this matter is an adult and has a family of wife and children. There are many things which make for progress in the nation, we must will consider and not these in the ceiling. Have a positive attitude(I am sorry if offensive)@SALEH SULE

....jamani hizi zafaa jukwaa lipi???????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom