Mwenyekiti wa uwt,katibu,,makamu wabunge automatically!!-sophia simba,loh!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Jaman hizi sheria nyingine azina adabu zinaitaji kubadilishwa kabisa;kwa mliomsikia mama sophia simba waziri wetu wa utawala nyeti;ametangaza clouds agombei msimu huu,..alipoulizwa na kibonde wa clouds fm akasema kw a kweli mi ntakuwa tu mpiga debe;sheria za chama ukiwa mwenyekiti makam, katibu, we ni mbunge mtarajiwa huu ufioso jamani
wenzako wanahangaika majimboni huku kuna watu kabla ya uchaguzi wameshakuwa wabunge loh!!!shame ccm
mama simba nimeelewa kwa nini sasa zile pesa zilimwagwa kama njugu na rais wako kikwete akawa mstari wa mbele kuzishabikia na kukushabikia

loh!!! Chi chi em!!!!najuta kukufahamu
 
Mnadhani ule msuguano wake na J. Kahama ulikua ni wa uenyekiti wa uwt pekee?
Ilikua kampeni ya ubunge pia.
 
BASI ZIMA LILIRINDIMA KUMBE NDIO HAYO.........

AIBU KWAKO AIBUUUUUUUUUU KWAKO "ccm"""""""""""""""

kwa

cccccccccccccccccccccccccccccccccccccccccMMMMMMMMMMMMMMMMMMUUUU
 
KIBONDE AKAULIZA KUMBE MKIGOMBEA uwenyekiti unakuwa unagombea na ubunge hapo hapo!!!!akakata shimu!!duhu mama kiboko chacha nimekuvulia chuluali kwa hechima..
 
That is really Good. You know your destiney and you will focus on the presidential campaign!!
That is CCM!!!!
 
Hakuna kitu kama hicho, ni tafsiri mbaya tu. Kama CCM haitapata wabunge wengi hivyo kukosa nafasi za wabunge wa kuteuliwa huyo mama hatakuwa mbunge.

Yeye tayari ameshajua CCM watachukua viti vingi vya ubunge na hivyo kama Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake basi automatically ataingia bungeni.

Sioni ubaya wowote juu ya hilo, na njia ya kuzuia lisitokee ni kuinyima CCM kura. Nafikiri hata vyama vingine vinatumia utaratibu karibu na huo. Wanapanga majina ya wagombea wanawake na juu anaanza mwenyekiti na wazito wengine wa chama.

Hata kwenye chama kwa mfano mwenyekiti wa UVVCM, tayari anakuwa automatically mjumbe wa halmashauri kuu.
 
Hapo inakuwa ngumu kidogo kuelewa, ina maana hata asipoingiza jina bado atakuwa mbunge tu? Au inategemeana kama alivyosema MUHEZA 2007?
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi !!! Maana sasa Bunge ni kikao cha Chama wanaingia kwa nafasi zao za uongozi wa jumuia za Chama Msiishie kwa jumuia moja wanawake. Vijana na Wazazi jee nao ni wabunge bila kupingwa ? Bravo CCM !!! Wanawake Kwanza
 
so far hao awamsumbui kichwa kikwete kkumpa uwaziri
 
Back
Top Bottom