KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
Hivi chadema chama chenu bila kumpata Nape mganga wenu kawaambia hakiwezi kufanikiwa nini?manake mnavyotamani ajiunge na chadema mpaka mnajiabisha na kukiaibisha chama chenu pia,mi naamini mkijipanga mnaweza kabisa kufanikiwa bila ya kujaribu kumnunua NapeLeo saa kumi jioni Star Tv kwenye kipindi chake cha 'Vidokezo vya Habari' kumetokeza habari kwamba Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Tabora amejiunga na Chadema.
Ama kweli M4C inashika kasi kubwa.
Tunamsubiri mpendwa wetu Nape Nauye ambaye ameshindwa kututhibitishia hapa JF uanachama wake wa ccm. Cross the floor and welcome Nape.CDM is your sweet home!