Mwenyekiti wa serikali za mitaa Mwananyamara huoni haya?

Mandown

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
1,665
503
Natumai habari zitakufikia mana jamii forums inasomwa kila mahala.

Tatizo langu ni hawa mateja mtaani kwako wanabwia unga mpaka mlangoni kwako, mchana kweupe bila haya wafanya mabo haya, wajidunga sindano bila kificho, mbaya zaidi wakikoki lile jani, nadhani harufu yake inaingia mpaka ofisini kwako lakini umeziba masikio na macho, wasubiri kugongea watu mihuri tu wakupe buku!
Watu hawa wanahatarisha usalama wa mtaa, wanaiba hata ndala.

HEBU FANYA KAZI BASI MUHESHIMIWA
 
Hao jamaa ukiwaingilia kichwakichwa watakufanyia kitu mbaya. Ukiwaripoti polisi wakikamatwa leo kesho utawaona mtaani wameshaachiwa
 
wavuta unga na wauza bhang pale Africando wana wazazi Jirani kabla hata Mkiti hajawaona.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom