mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 22,631
- 8,417
washindwe mara ngapi ndugu yangu?
Na wabunge nao bla bla tu! badala ya kuisukuma serkali imalize hili tatizo!
washindwe mara ngapi ndugu yangu?
Real Watanzania wako naye! Real! What have been done by Tanzanian after Ulimboka scene? C'on guys lets be serious and stop talking and start acting now!!!!Dr.Mkopi Simama imara kama Yesu mbele ya Pilato na Mafarisayo, na kama ni kichwa chako kubali kichukuliwe kama mtume Stefano na Yohana Mbatizaji kwa kukataa dhuluma na unafiki wowote.Watanzania weledi na wajuzi wa mambo ya Tanzania wapo na wewe daima.Wala USIOGOPE hata siku moja.
Wabunge wapi unaotaka waisukume serikali...hujasikia kuna kikosi cha kushughulikia wanaoisumbua serikali, kikiongozwa na Nzoka...Na wabunge nao bla bla tu! badala ya kuisukuma serkali imalize hili tatizo!
kwa mujibu wa kiongozi wa MAT, Dr Namala Mkopi anahitajika central police kwa kosa la kukiuka amri ya mahakama.
haya hapa chini ni sehemu ya maneno yake...
my Take;MAT ni chama cha kitaaluma na hakijawahi kuitisha wala kuratibu mgomo.
Wewe upo dunia ya wapi...au unafikiri mguu ni wa kushoto tu!!! wa kulia ni kitu kingine? Hakuna tena mgomo kwa vile Mwajiri kesha pitisha uamuzi: Anayeridhika na mshahara uliopo aendelee na kazi mara moja na anayeona mshahara huo ni kiduchu aondoke kwa amani na aende atakakolipwa zaidi!!Hivi kweli Tanzania tumeshindwa kuutatua huu mgogoro?
ni nani aliitisha mgomo???