Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
kwa mujibu wa kiongozi wa MAT, Dr Namala Mkopi anahitajika central police kwa kosa la kukiuka amri ya mahakama.
haya hapa chini ni sehemu ya maneno yake...
UPDATESR Namala amesharudi uraiani ingawa hajatoa details za mahojiano.
my Take;MAT ni chama cha kitaaluma na hakijawahi kuitisha wala kuratibu mgomo.
haya hapa chini ni sehemu ya maneno yake...
Just be Informed; Nimeitwa Central Police sababu kuna hati ya kukamatwa mimi Namala Mkopi kwa kosa la kuto tii amri ya mahakama.
Amri nilopewa inasema hivi;
MAT isiitishe mgomo na members wa MAT wasishiriki kwenye mgomo!
UPDATESR Namala amesharudi uraiani ingawa hajatoa details za mahojiano.
my Take;MAT ni chama cha kitaaluma na hakijawahi kuitisha wala kuratibu mgomo.