Mwenyekiti wa kamati ya madaktari atishiwa usalama wake

Dr Klinton

Senior Member
Jan 21, 2012
123
152
Mwenyekiti wa madaktari dkt stephen ulimboka ametishiwa usalama wake kwa njia ya sim na mtu aliyejitambulisha kuwa ni ofisa toka ofisi ya waziri mkuu kuhusu sakata la mgomo .
Pia... Mwenyekiti wa vijana wa ccm mkoa wa tanga naye kampigia cmu kumtishia
wote walimtaka kuhakikisha hili sakata linaisha kabla ya jumatatu hii ya tarehe 30/01/2012
 
kina Ulimboka hawajaanza kugoma leo wala jana hivyo sidhani kama wanaweza kuogopa vitisho.Nadhani hata dr.Kigwangala anawajua vizuri maana alimaliza nao mwaka mmoja pale Muhimbili.Hawa jamaa wameshiriki migomo yote mikubwa inayohusisha kada ya afya tangu walipoingia kwenye fani
 
Wasikubali kuwa kama akina Mgaya wa TUCTA na Mkoba wa Walimu..walipotishiwa na JK wakafyata mkia...alunta continua!!
 
azimieni, ikiwa mwenyekiti ataguswa familia za magamba zikae mkao wa kudungwa sindano za mafuta ya taa, kwi kwi kwiii kwiiiiii
 
Sidhani kama inasaidia kufanya mgomo kulainika; hakuna kitu kinachomtranform mtu wa kawaida na kuwa shujaa kama akivuka mstari wa kuogopa vitisho!
 
hii sio issue ya ulimboka na ksma wanadhani watanyamazisha professionals kwa namna hiyo wamepotoka
 
Mwenyekiti wa madaktari dkt stephen ulimboka ametishiwa usalama wake kwa njia ya sim na mtu aliyejitambulisha kuwa ni ofisa toka ofisi ya waziri mkuu kuhusu sakata la mgomo .
Pia... Mwenyekiti wa vijana wa ccm mkoa wa tanga naye kampigia cmu kumtishia
wote walimtaka kuhakikisha hili sakata linaisha kabla ya jumatatu hii ya tarehe 30/01/2012

Nilichangia kwenye thread nyingine kuwa hili lingetokea kwa kuwa ni serikali legelege. Ni sawa kabisa kupigana na mtu mwoga, atakutisha kwa kila hali na wewe utadhani anamaanisha kweli kumbe ukimstua tu atakimbia na kujamba hovyo.

Dr Ulimboka wewe ni jemadari mkuu tuongoze baba uasiwmwoga. Kumbuka hata Idd Amin alitisha sana hata,Gadaffi au Sadam Husein kiasi kwamba hawakufanya resistance yoyote.

Safari hii wametumia sms kesho watakuja na kila aina ya silaha we subiri tu uone, lakini hawana lolote. Lakini kaeni sawa mwoga anaweza akakuangushia pigo akakutoa roho.

Nani duniani ameona serikali kama hii?
 
Hawa mafisadi Mi nawachukia mpk hata ardhi ninayoikanyaga ni shahidi!

Hila na njama zao zitakwama tu!

Wapuuzi wakubwa kabisa!
 
.... Hili lilitegemewa. Kama halikutegemewa basi strategies hazikuwa sawa.
 
Hii serikali ya Chama Cha Magamba-CCM hakika ni SERIKALI ya WENDAWAZIMU,VICHAA na MAJUHA!

Hivi hawa jamaa bado wanafikiri watu bado wako karne za ujima za kutishana na ndiyo mzee!!!????
Badala ya ku-address serious issues kama hii ya mgomo wa Madaktari wanaanza kutoa vitisho kweli? Nimeshasema several times kwenye ukumbi huu kuwa Rais Kiwete hana Waziri Mkuu na hana Baraza la Mawaziri. Inasikitisha kwamba hata Rais mwenyewe anaonekana hajui maana ya kuongoza.
Ni aibu tena ni fedheha kwa Mkuu wa nchi kukimbilia Ughaibuni(Davos-Uswiss) kwenye mkutano wa WEF huku akiacha mgomo unafukuta na Watanzania WANAKUFA!!!! Yaonyesha tu kuwa Kiwete HATHAMINI UHAI NA UTU WA WATANZANIA. Ameondoka na shazi la watu 14 kwa GHARAMA YA 300m Tshs fedha ya Kitanzania kwenda kutalii na kutumbua fedha ya walipa Kodi hela ambayo kwa Rais makini angeliweza kuahirisha na kuwapoza madaktari kama kianzio kwa madai yao ambayo ni HALALI KABISA!

Hii inadhihirisha tu kuwa Tanzania kwa sasa HAINA RAIS,haina PM,haina Mawaziri na haina Chama kinachoongoza. Pengine mimi niseme tu kwamba hii ni INDICATOR NZURI SANA YA KUWAONYESHA WATANZANIA KUWA CCM NA SERIKALI YAKE WAMECHOKA NA WANATAKIWA WAONDOKE IKULU HARAKA SANA ILI CHAMA KINGINE MAKINI CHENYE KUJALI MASLAHI YA WATANZANIA KICHUKUE MADARAKA. Chama hicho si kingine isipokuwa CHADEMA,The peoples Poweeeeeeeeeeeeeeeeer!
 
Back
Top Bottom