Mwenyekiti wa jukwaa la katiba ndugu.....................

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Mwenyekiti wa jukwaa la katiba ndugu Deus.jumapili iliyopita alitangaza maandamano nchi nzima iwapo bunge litapitisha mswada na kuwa sheria leo hii mswada umepitishwa na upande mmoja hali kadhalika wabunge wa cdm hawakuwapo je ndugu deus hujayaona ama ndo umefunika masikio?
 
Huyo deus alichaguliwa lini na nani na alipewa na nani mamlaka ya 'kuwawakilisha wananchi'. Ajue kuwa ana haki ya kutoa maoni yake binafsi km ilivyo kwa Mtanzania yeyote lakini anakera kwa kujifaragua kwake kuwa anawawakilisha maoni ya Watanzania...kwani alikutana nao wapi na lini?
 
Bila shaka umejipembua vile ulivyo hayawani!
Kila dunia ina watu werevu wa aina ya kibamba,taifa la wenye haki lipo samama na Kibamba ila wewe kaa nyuma ya CCM hivyohivyo
 
Usalama wa taifa watakuwa wameshampitia tayari............ Nchi hii kwa vitisho. Loh!.
 
Jamani kama mlimskia vizuri deus alisema hawatafanya haraka kuitisha maandamano ila watakaa na kupanga kila kitu kwa mda wa mwezi mmoja ndipo watatangaza msimamo wa maandamano
 
Back
Top Bottom