Mwenyekiti wa H/W Kibondo ajiuzuru

hakuna asiyejua Halmashauri ya Wilaya lakini sijui ni wangapi wanajua nini maana ya H/W?? mimi nilitadhani home work? wewe unaweza kuniambia manaa ya Y/U? T/U? H/K? abbreviations should always be defined before use!

Osokoni jitahidi kushiriki halmashauri ya kichwa chako! Ukiisoma tu sentensi yote wala huna haja ya kusumbua watu. Inajieleza maana huwezi kukuta eti mwenyekiti wa home work ya Kibondo! Utakuwa katumb..f
 
Mbona una andika bila 'proper punctuations' ndugu yangu?
Hiki ni kiashiria kwamba wewe ni mzembe sana kwani, kulingana na ujumbe uliotoa, ni dhahiri una elimu na maandalizi ya kutosha!
 
Osokoni jitahidi kushiriki halmashauri ya kichwa chako! Ukiisoma tu sentensi yote wala huna haja ya kusumbua watu. Inajieleza maana huwezi kukuta eti mwenyekiti wa home work ya Kibondo! Utakuwa katumb..f

H/W = Hardware
H/W = Hot Water
H/W = Homework
H/W = Husband and Wife
H/W ​= Hours and Wages
H/W ​= Homework
H/W ​= Hollywood
H/W ​= Highway
H/W ​= Hazardous Waste
H/W ​= Hardwood
H/W ​= Handwriting
H/W ​= High Water
H/W ​= Hot Wheel
H/W ​= Hot Wire (welding technology)
 
Kichwa cha habari kinajitosheleza mleta uzi katumia Kiswahili saafi hakuna uhusiano na vifupisho vilivyoletwa tunakushukuru mleta uzi!!!
 
Back
Top Bottom