Mwenyekiti wa CUF, viongozi wa CCM na wanachama zaidi ya 890 wahamia CHADEMA

Daah! Raha sana.
Pongezi makamanda wa CHADEMA kwa kazi nzuri mliyoifanya!

Na pongezi zingine za dhati ziwafikie wananchi wote wa hapo Lindi kwa kulitupa Gamba.. Pplz pwr!
 
Mkuu JF sio sehamu ya porojo ebu weka hiyo thread unayosema mie niliandika Chadema chama Kaskazini na Wakirstu.


Hizi ni chache tu kwa haraka


Mkuu nimependa hizo takwimu zako naona ni mzuri kwenye mambo ya takwimu naomba unasaidie na hizi takwimu.

Kwa nini wabunge wa Chadema viti maalum wengi ni Wakirsto?

Kuna wabunge 25, Wakirsto ni 19 na Waislam ni 6 tu.

Mlitumia vigezo gani kuwapata hawa wabunge?

Chadema kwa nini mnajikita Kaskazini tu. kila mwezi lazima mfanye mkutano Arusha.

Jiografia ya Tanzani ni kubwa mno kila siku mpo Arusha tu hamuwezi kuchukuwa nchi kwa kuitegemea Arusha peke yake kuna maeneo mengi watu hawaijui Chadema kama haya.

Namtumbo.
Mbinga.
Tunduru.
Rufiji.
Mafia.
Mkuranga.
Bagamoyo.
Mvomero.
Gairo.
Ulanga.
Urambo.
Sikonge.
Uyui.
Kibondo.
Same.
Kasulu.
Mwanga.
Nachingwea.

Sio mnakaa sehemu mmoja tu Arusha kila siku huu ni ushauri wangu kwenu ni hiyari yenu kuukataa au kuukubali.

Ritz.

JF Daima.

Hivi kweli Chadema watawambia nini Machinga wa Mtwara..

Chadema juzi wamesema wanataka kujitenga waanzishe taifa la Kaskazini leo tena wanataka kwenda kuwadanganya Mtwara.

Ni ngumu sana Kaskazini na Kusini kuungana.

Kweli Chadema wamekuwa gumzo Mtwara baada ya kusikia kuwa Chadema wanataka kuanzisha Taifa lao la Kaskazini Jamhuri ya Meru.

Mnawambia nini sasa watu wa kusini wakati mnataka kujitenga kuanzisha Taifa lenu la Kaskazini...
 
Mkuu JF sio sehamu ya porojo ebu weka hiyo thread unayosema mie niliandika Chadema chama Kaskazini na Wakirstu.
Ritz, hapa chini ulikuwa na maana gani?
18th May 2012 - Hivi kweli Chadema watawambia nini Machinga wa Mtwara.. Chadema juzi wamesema wanataka kujitenga waanzishe taifa la Kaskazini leo tena wanataka kwenda kuwadanganya Mtwara. Ni ngumu sana Kaskazini na Kusini kuungana.
 
Jamani angalizo tujifunze matumizi ya neno na maana ya Breaking News ili neno lisipotezee maana yake halisi...Mods badilisheni hilo neno Breaking News.

Ime kuchoma eee!! Tulia wewe unyolewe .we si ulikuwa unadai CDM Kila siku ni ATowo tu sasa wamekufikia , utavua gamba utake usitake.
 
Hizi ni chache tu kwa haraka

Naona unazunguka tu weka hiyo thread...suala la kujitenga kwa Chadema na kuanzisha taifa lao la Kaskaskazini sio maneno yangu ni maneno ya Mbunge wenu Joshua Nassari.
 
Ritz, hapa chini ulikuwa na maana gani?

Mag3.
Mie nilichofanya ni kunukuu maneno ya mbunge wa Arumeru Joshua Nassari...labda nikuulize mkuu wangu nani alisema anataka Chadema wajitenge waanzishe taifa lao la Kaskazini nijibu mkuu.
 
Mag3.
Mie nilichofanya ni kunukuu maneno ya mbunge wa Arumeru Joshua Nassari...labda nikuulize mkuu wangu nani alisema anataka Chadema wajitenge waanzishe taifa lao la Kaskazini nijibu mkuu.

Tatizo unajitetea sana badala ya kujibu kwa hoja! Wewe ni moja wa GTs wanaoaminika kujenga very critical arguement bana acha mawenge ritz
 
Last edited by a moderator:
Tatizo unajitetea sana badala ya kujibu kwa hoja! Wewe ni moja wa GTs wanaoaminika kujenga very critical arguement bana acha mawenge ritz

Mungi.

Nimejitetea sababu kuna mtu kasema Ritz, alianzisha thread na kusema Chadema na chama cha Wakiristo na wanataka kujitenga.

Mie ndio nikaomba waweke hiyo thread niliyoandika hivyo, wakati nasubiri hiyo thread wakaleta post zangu ambazo nilimnukuu Mbunge wa Arumeru Joshua Nassari.
 
Last edited by a moderator:
Ningependa sana tena sana.

Watu wenye hekima na busara zao hasa wanasiasa wenyemtazamo chanya na wenyekuona mbali kujiunga na chama hiki.

Watu wa rika tofauti wazee kwa vijana wana

Watu wa dini tofauti na wasio na dini, waislamu kwa wakristu, wahindi kwa waagoa nk

Tunahitaji chama cha watanzania, chama cha kuwakombowa watanzanaia wanyonge, walalahoi ambao kwao maisha bora nikama ndoto isionamatumaini itawafikia lini na kwa namnagani. Chama hicho ni CHADEMA.

Chadema imeonesha ni chama cha kitaifa, chama cha watanznia wote kwasababu kinakubalika na watanzania wengi kwa sasa. Kinakubalika na watu wa rika tofauti, makabila mbalimbali, dini mbalimbali na watu wa asili na rangi mbalimbali.

Tunahitaji kuutokomeza mfumo mchafu na hatari unaolenga kuwagawa watanzania kwa imani zao, ukanda na makabila yao. Hili ni hatari sana, nihatari kwasababu tunalazimishwa sasa na vikundi vidogo vidogo vinavyopotosha watanzania vikitumia mbinu ya udini, ukanda na pia ubaguzi wa kidini na vinatumika tu kwa manufaa ya wapuuzi wachache ilikufikia malengo yao machafu. Tuugane kuvipinga kwa nguvu zote ilitubakie salama, sisi na vizazi vyetu.

Njia pekee ya kuvipinga vikundi hivi ni kwa kilampenda amani kujiunga katika umoja utakaodhihirisha bila shaka yakuwa ndani yake hakuna ubaguzi. Hili viongozi wa chadema yapasa kulielewa na kuliheshimu sana kwa maana Chadema si chama cha kidin ni cha kisiasa, hivyo kiwakilishwe kwa heshima, hekima, busara na taazima ya watanzania wote wadini zote, rangi zote na wale wote wasio na dini lengo ni kujiepusha na MDUDU UBAGUZI.

KIKIFANYA HIVYO HAKIKA KITASHINDA
 
Siasa inaanza kuchanua hii italeta ushindi wa kweli 2015,kuliko ilivyokuwa zamani ushindani ulikuwa ndani ya ccm ukipeta then umeukwaa ubunge.
Naamini vyama vyote 2015 lazima vilete majembe kwa wananchi ili kupata ubunge.

Napenda siasa napenda demokrasia.
 
Jamani angalizo tujifunze matumizi ya neno na maana ya Breaking News ili neno lisipotezee maana yake halisi...Mods badilisheni hilo neno Breaking News.

Hii "News" ina "Break" CCM. Wacha kulalamika ndio mahali pake hasaa "Breaking News".
 
Habari hizi zinaleta raha moyoni na afya mifupani. Jinsi siku zinavyosogea ndivyo Tanganyika halisi inavyozidi kujionyesha kwa ukaribu. Aksanteni Lema & Co kwa kazi nzito. Wanaomkebehi Lema wa watafakari upya kama wanatumia KONYAGI au akili kufikiria.
Cdm songa mbele.

habari za uzushi hizo kwani teyari wameondoka kusini kutokana na wakati mgumu walioupata na mpaka DR SLAA KUPOPOLEWA MAWE na wakazi wa hapo baada ya kuzusha jambo kuhusu MTATIRO mpaka akaokolewa na polisi na wenyeji wake. lol mnajidanganya maana nyie mnategemea media tu lakini ukweli ni kwamba wamerudi bila bila maana walitaka kukaa siku 17 lakini wamekaa siku saba tu.
 
Back
Top Bottom