Mwenyekiti wa CUF, viongozi wa CCM na wanachama zaidi ya 890 wahamia CHADEMA

Mkubwa!hii taarifa inanifurahisha sana lakn jazia nyama basi habari haijitosherezi,wamejiunga wakiwa kwenye mkutano? au vip na aje?
 
Habari hizi zinaleta raha moyoni na afya mifupani. Jinsi siku zinavyosogea ndivyo Tanganyika halisi inavyozidi kujionyesha kwa ukaribu. Aksanteni Lema & Co kwa kazi nzito. Wanaomkebehi Lema wa watafakari upya kama wanatumia KONYAGI au akili kufikiria.
Cdm songa mbele.
 
Safi sana makamanda
chukua hille ya 50 yrs indp
sema hivi

CDM tumesubutu, tumeweza na tunasonga mbele.
to T2015CDM
 
mwenyekiti CUF kata ya jamhuri manispaa ya Lindi na kampeni meneja wa mbunge wa lindi mjini na mwenyekiti wa serikali wa kijiji cha mbanje wa ccm na wanachama zaidi ya 890 wamejiunga na chadema leo tarehe 6...

Mungu awabariki wapambanaji wetu, awape nguvu na afya, mapambano bado yanaendelea
 
Nilidhani prof.Lipumba.....nikasema bwawa limeingiliwa na ruba....kazi nzuri cdm.
 
Wale wanaosema kuwa CDM ni ya kaskazini tu tunawaomba waje wasome thread hii.

Peoples power.............
 
Jamani angalizo tujifunze matumizi ya neno na maana ya Breaking News ili neno lisipotezee maana yake halisi...Mods badilisheni hilo neno Breaking News.
 
Jamani angalizo tujifunze matumizi ya neno na maana ya Breaking News ili neno lisipotezee maana yake halisi...Mods badilisheni hilo neno Breaking News.

Bila shaka Ritz huwa ni wasira au shibuda sema 2 fakeID inayotumika humu.
 
Wapi Bro Waberoya,Kimbunga,Ritz,Rejeo,Free World,NazDaz,Judi wa kishua,Geneus Brain na Nape Nnauye?
 
Back
Top Bottom