Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Nachingwea ajiunga na CCM

Amekabidhiwa kadi ya ccm na makam wa rais Mohamed Ghalib Bilal.
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha kadi ya CHADEMA baada ya kukabidhiwa na Hassan Mkope (kulia) aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wa Wilaya ya Nachingwea, aliyeamua kujiengua na kujiunga na CCM. Makamu ameanza ziara yake katika Mkoa wa Lindi jana januari 20.

source:mjengwa na michuzi blogs

Uyu bilali yupo kwenye ziara za ccm au za serekali mana sielewi
 
Watu wa Ubungo

tafadhari sana Mwambieni Mnyika John ajiunge hapa JF ili kutupa ukweli wa mambo mbalimbali kwni yeye ni Mwenezi wa chama

kama hii isue ya huyu hatujui ni kwli alikuwa kiongozi wa CDM au alifukuzwa
 
Niliwahi kuwaambia humu JF baada ya Bunge tutaona vigogo wa Magwanda wakiondoka, wakanishutumu, wakanikejeli, sasa naona hawataki hata kuikumbusha ile nyuzi, maana mimi nilifikiri watakuwa wawili watatu, lakini sasa naona ni makundi kwa makundi. Maaaweeee!

Kwasababu unanuka udini ndio maana watu makini hawakuchukulii serious na habari unazoleta. Kama ulivyotulisha upupu kuhusu ugonjwa wa mwandosya!!

Kwa taarifa yako so far mmefanikiwa kumpata kiongozi mmoja tu aliyekuwa katibu wa sengerema pamoja na kutumia fedha nyingi sana kuwanunua viongozi wetu.
 
Niliwahi kuwaambia humu JF baada ya Bunge tutaona vigogo wa Magwanda wakiondoka, wakanishutumu, wakanikejeli, sasa naona hawataki hata kuikumbusha ile nyuzi, maana mimi nilifikiri watakuwa wawili watatu, lakini sasa naona ni makundi kwa makundi. Maaaweeee!

Kwasababu unanuka udini ndio maana watu makini hawakuchukulii serious na habari unazoleta. Kama ulivyotulisha upupu kuhusu ugonjwa wa mwandosya!!

Kwa taarifa yako so far mmefanikiwa kumpata kiongozi mmoja tu aliyekuwa katibu wa sengerema pamoja na kutumia fedha nyingi sana kuwanunua viongozi wetu. Wengine wamewaingiza mjini kwa kujivika vyeo kwa lengo la kuongezewa mpunga!
 
Mi nimeingiza wanachama watatu cdm bila ya mbowe wala slaa kwa hiyo mabao ni tatu moja sikufanya sherehe. Wala hakuna aliyepewa senti. Kweli bado wajinga wengi. Yaani kura moja. Tu mmemleta mpaka makamu wa rais?kweli nchi inaliwa!
 
Niliwahi kuwaambia humu JF baada ya Bunge tutaona vigogo wa Magwanda wakiondoka, wakanishutumu, wakanikejeli, sasa naona hawataki hata kuikumbusha ile nyuzi, maana mimi nilifikiri watakuwa wawili watatu, lakini sasa naona ni makundi kwa makundi. Maaaweeee!

Vigogo wapi?wote unaowaskia walishatimuliwa cdm kitambo na nafasi zao kukaimishwa sasa magamba mnalishwa kasa kila siku kwa kudanganywa kupokea viongozi toka cdm kumbe ni reject.Ngeleja aliingizwa mkenge sengerema,tukaenda kufukia mabonde na kamanda wenje kwa saa 1 tu tukalamba vichwa 32
 
Amekabidhiwa kadi ya ccm na makam wa rais Mohamed Ghalib Bilal.
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha kadi ya CHADEMA baada ya kukabidhiwa na Hassan Mkope (kulia) aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wa Wilaya ya Nachingwea, aliyeamua kujiengua na kujiunga na CCM. Makamu ameanza ziara yake katika Mkoa wa Lindi jana januari 20.

source:mjengwa na michuzi blogs

huyu jamaa kapewa ngapi?
Bongo bwana makamu wa rais na gari za serikali anafanya kazi ya chama hii katiba mie hata siielewi kabisa
huyo mwenyekiti kanunuliwa suti basi asubili kukalia benchi
 
Nafarijika sana ninaposikia habari za mamluki kujiengua,CDM sio chama cha posho kama CCM,ni bora ameondoka akaungane na wazee wa madili ya unyonyaji.

Ni bora kuwa na watu wasioyumbishwa na pipi za CCM. Amejimaliza mwenyewe.
 
Niliwahi kusema humu jamvini. CDM mikoa ya kusini mmeisahau then hawa viongozi wa CCM hawaishi kuja Kila Leo. Tukumbukeni jamani
 
Mzee huyo namfahamu vizuri alkuwa CCM akaja Nachigwea Lipumba akajiunga na CUF, alipokuja Dr Slaa akajiunga na CHADEMA na amekuja Dr Bilal karudi CCM, Subilini aende Mrema mtamsikia TLP na akizuka huko Mbatia mtamsikia NCCR hali ya maisha Nachingwea ni magumu hasa ukiwa na wakee 4 kama mzee wangu huyu. Mliokuwa karibu na tukio Dr Bilal aliweka mkono mfukoni lakini?.
 
amekabidhiwa kadi ya ccm na makam wa rais mohamed ghalib bilal.

makamu wa rais dkt. Mohammed gharib bilal, akionyesha kadi ya chadema baada ya kukabidhiwa na hassan mkope (kulia) aliyekuwa mwenyekiti wa chadema wa wilaya ya nachingwea, aliyeamua kujiengua na kujiunga na ccm. Makamu ameanza ziara yake katika mkoa wa lindi jana januari 20.

Source:mjengwa na michuzi blogs

nakumbuka pia niliwahi kutabiri kuwa kabla ya mwaka 2013 chadema itakuwa imekufa sio kilimanjaro tu,hata katika mikoa ambayo inaonekana walau ina ahueni ya wanachama,mwaka 2012 umeanza vinaya kwa chaga development manifesto,( matukio mnayo,sengerema & na hawa wa nachingwea) kuna tetesi kuwa hapa mwanza mjini na hata wilaya ya geita viongozi wa cdm watavua magwanda,kisa? Yana joto sana
 
Back
Top Bottom