Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Nachingwea ajiunga na CCM

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Amekabidhiwa kadi ya ccm na makam wa rais Mohamed Ghalib Bilal.
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha kadi ya CHADEMA baada ya kukabidhiwa na Hassan Mkope (kulia) aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wa Wilaya ya Nachingwea, aliyeamua kujiengua na kujiunga na CCM. Makamu ameanza ziara yake katika Mkoa wa Lindi jana januari 20.

source:mjengwa na michuzi blogs
 
Ni sawa tu mwache aende akagange njaa .Mwana Chadema halisia hawezi danganyika alikuwa pandikizi tu huyu .All the best ukafisadi nawe .
 
Nafarijika sana ninaposikia habari za mamluki kujiengua,CDM sio chama cha posho kama CCM,ni bora ameondoka akaungane na wazee wa madili ya unyonyaji.
 
Nilisikia huyu jamaa alifukuzwa chadema tangu mwaka jana mwezi Mei.Nadhani viongozi wa chadema watatupa taarifa rasmi,isipokuwa kwa uhakika huyu si mwanachama wa chadema
 
Tusimlaumu, katumia haki yake ya uhuru wa kidemokrasia kuhamia ccm, huenda ameona ndipo anaweza kutimiza ndoto yake.

Ninachosubiri ni kupata uthibitisho kama kweli alikuwa ni mwenyekiti, maana siku hizi kila anayeondoka chadema kwenda ccm anajitafutia cheo cha kuondokea.
 
Amekabidhiwa kadi ya ccm na makam wa rais Mohamed Ghalib Bilal.
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha kadi ya CHADEMA baada ya kukabidhiwa na Hassan Mkope (kulia) aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wa Wilaya ya Nachingwea, aliyeamua kujiengua na kujiunga na CCM. Makamu ameanza ziara yake katika Mkoa wa Lindi jana januari 20.

source:mjengwa na michuzi blogs
Hilo tumbo ni ishara tosha kua alikua fisadi!!
Aende tu bana!!
 
Tusimlaumu, katumia haki yake ya uhuru wa kidemokrasia kuhamia ccm, huenda ameona ndipo anaweza kutimiza ndoto yake.

Ninachosubiri ni kupata uthibitisho kama kweli alikuwa ni mwenyekiti, maana siku hizi kila anayeondoka chadema kwenda ccm anajitafutia cheo cha kuondokea.

Mkuu Mwita
Kama una contact na Mnyika muulize.Lakini nuna uhakika alishatimuliwa mwaka jana
 
Amekabidhiwa kadi ya ccm na makam wa rais Mohamed Ghalib Bilal.
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha kadi ya CHADEMA baada ya kukabidhiwa na Hassan Mkope (kulia) aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wa Wilaya ya Nachingwea, aliyeamua kujiengua na kujiunga na CCM. Makamu ameanza ziara yake katika Mkoa wa Lindi jana januari 20.

source:mjengwa na michuzi blogs

We mtu wa kusini na watu wa kaskazini wapi wapi bana
 
Acha atumie haki yake kidemokrasia but ni vyema CCM wajue kwamba bado sisi vijana wapiganaji tena wenye uwezo tupo chadema na 2tazidi kuendeleza harakati bila uwoga, keep it up wanacdm wote nd BRAVO CHADEMA.
 
Mizigo inazidi kujiengua CDM. Angechelewa kidogo angefukuzwa na chama. Heri amesepa mapema.
 
Niliwahi kuwaambia humu JF baada ya Bunge tutaona vigogo wa Magwanda wakiondoka, wakanishutumu, wakanikejeli, sasa naona hawataki hata kuikumbusha ile nyuzi, maana mimi nilifikiri watakuwa wawili watatu, lakini sasa naona ni makundi kwa makundi. Maaaweeee!

Mdini jamvini
 
Back
Top Bottom