Mwenyekiti wa CHADEMA Sumbawanga achoshwa?

Bw. Geophrey Shayo mwenyekiti wa CHADEMA sumbawanga amechoshwa na udanganyifu ulioko chadema ameamua kurudi ccm.

Amepewa kadi ya ccm na Eng Stella Manyanya mkuu wa mkoa wa rukwa..

Kuna nini huko chadema acheni kudanganya wanachama???

Source: Michuzi blog

Kwani lini alikuwa CCM? Halafu kadanganywa nini? Niwajuavyo CCM, wangetaja kadanganywa nini lakini kama hata Rejao hajasema analalmika kudanganywa kitu gani, basi ni wazi hayazungumziki means ni kinyume na maadili ya jamii
 
Bw. Geophrey Shayo mwenyekiti wa CHADEMA sumbawanga amechoshwa na udanganyifu ulioko chadema ameamua kurudi ccm.

Amepewa kadi ya ccm na Eng Stella Manyanya mkuu wa mkoa wa rukwa..

Kuna nini huko chadema acheni kudanganya wanachama???

Source: Michuzi blog

Siyo kila Mchaga ni mjanja sababu anaitwa Shayo, inawezekana sana kunamadudu amefanya sasa hatoshei tena maana Chadema huwa wanafki hawakai, si uliona Kafulila? Tatizo lako unaumiza kichwa kupost vitu vyepesi mahali penye Great thinkers.
Hii habari haina uzito wala haina lolote la kushangaza wengine labda wewe tu, ccm na cuf
 
safi sana mwenyekiti kurudi kundini baada ya kugundua kuwa ulipotea njia/uliingia choo cha kike.sasa tunamsubiri said Arf,Mbowe na Dr Slaa warudi kundini tufanye kazi kwa kushirikiana
 
walikuwa wakina SHITAMBALA umewasikia tena?? Huyo alipewa kadi na jk

Teh teh teh!hz njaa na cheap politics za kitanzania bhana,eti amechoka kudanganywa,au anajidanganya mwenyewe?labda wenye akili kama zake ndio watamsupport!hv wapi Dr Kaborou?
 
Bw. Geophrey Shayo mwenyekiti wa CHADEMA sumbawanga amechoshwa na udanganyifu ulioko chadema ameamua kurudi ccm.

Amepewa kadi ya ccm na Eng Stella Manyanya mkuu wa mkoa wa rukwa..

Kuna nini huko chadema acheni kudanganya wanachama???

Source: Michuzi blog

That's too low kwa Eng. Manyanya.. hivi kazi ya mkuu wa mkoa ni kugawa kadi za ccm?
 
Huyu ni mchovu tu wala kazi ya upinzani hawezi. Alikuwa anaganga njaa tu. Mapambano dhidi ya udhalimu ni makali na ya muda mrefu sana yahitaji uvumilivu. Watu wasiokuwa na msimamo kama huyu Bw Shayo hawafai katika mpambano huu. Halafu ni mufulisi hata mahali pa kurudisha kadi hajui. RC hata kama ni kada wa CCM hapaswi kushabilikia mambo ya Itikadi. Mimi kama mhandisi huyu anayejiita Mhandisi Manyanya ni "Political Engineer" na huko ndio kunamfaa awaachie weatu fani zao. Nani asiyejua kuwa kilichompa huo wadhifa ni unafiki wake juu ya sakata la Richmond? Anapiga kelele kwenye kamati teule huku anaitwa kwa watawala kunyamazishwa. Tupeni thread nyingine kwani hizi za namna hii zinatupa kichefu.
 
Viongozi wa Chadema kuanzia ngazi za mikoa (kwa baadhi ya mikoa) kushuka chini wanafanya kazi ktk mazingira magumu sana. Ruzuku hawapewi.

Mkuu wewe tunakufahamu ni CCM.Tangu lini umekuwa msemaji wa CHADEMA.
 
Amepewa kadi ya ccm na Eng Stella Manyanya mkuu wa mkoa wa rukwa..
RED
Ndo inapokuja hoja ya katiba mpya.
Hizi kofia zisizoeleweka.
Chama/Serikali.
Haya madaraka yanatatanisha ki-utendaji.
 
Akitoka mnafiki mmoja wanaingia wanachama wakweli 1000 shida iko wapi,Mkuu wa mkoa kumbe kazi yake kugawa kadi na kuchukua kadi za vyama pinzani? Ameshamaliza kazi zote za kuhamasisha maendeleo mkoani kwake? mbona barabara na kipato cha wananchi bado duni sana si angetumia muda huo kujadili bei ya mazao ya wakulima?
 
Bw. Geophrey Shayo mwenyekiti wa CHADEMA sumbawanga amechoshwa na udanganyifu ulioko chadema ameamua kurudi ccm.

Amepewa kadi ya ccm na Eng Stella Manyanya mkuu wa mkoa wa rukwa..

Kuna nini huko chadema acheni kudanganya wanachama???

Source: Michuzi blog

Jamani si mnasema CDM ni chama cha wachagga? Iweje leo Shayo akimbie?

Wengi wa Viongozi wa vyama vyetu vya upinzani ngazi za Mikoa na Wilaya hawajui kuwa majukumu yao kwa karibu aslilmia 80 ni kujitolea, siku wakilijua hilo wataacha kurubuniwa na CCM na watahamasisha wananchi kuchukua dola na ndipo ukombozi wa "wote" utapatikana.
 
cdm ikifika 2015 najiua

si ungejiuwa leo tukuzike 2015 mana unaongea uharo. We ni mtu mjinga na unatambua kuwa wizi uloufanya cdm wakichua watakutengeneza vizuri sana , ushauri wangu. Jiue sasa mbwa mweusi. We
 
Mkuu, unauliza swali ambalo mwenyewe ulishalitolea majibu kwamba "amechoshwa na udanganyifu ulioko CHADEMA" Nadhani mimi na wengine wanaotaka kujua zaidi ndio tunaotakiwa tukuulize wewe. Ni udanganyifu upi huo? Hebu tudokeze tupate kujua pia.
Njaa, Nooooma!!!
 
Back
Top Bottom