Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya mjini, anusurika kupigwa jukwaani

Hakuna kosa ambalo watafanya chadema mbeya kama kumtoa mzee wa upako.tunajua jinsi ambavyo eddo anatumiwa na ccm kuivuruga chadema lakini kiukweli. Mwambigija ni noma sana na kwa siasa ya mbeya huyu jamaa anatufa sana.

uko sawa mkuu,jamaa ni jembe sana hasa inapokuwa jukwaani.
 
Wanaompinga Mwambigija ni vibaraka wa Shitambala/ccm
Kwanza nilikuwepo cku hiyo,mpaka Mwambigija anamaliza kuhutubia ckuona kitu kama hicho,hata hivyo,ni kwa 7bu humfahamu Mwambigija,nasema kweli,kama Mwambi ataendelea kuwa mwenyekiti Chadema iko hatarini Mby Mjini
 
Hiyo picha yenyewe imepigwa kimagumashi gumashi, toa hapa propaganda zenu za nyinyiem, CDM waelimisheni watu wa mbeya, mob physchology inaweza kutumika kuharibu chama. take care. Unrestless people suspects anything na uwezo wa kufikiri unashuka, ndivyo ilivyo kwa watanganyika kwa sasa.
Hata mimi hii picha nasema hapana bana, hebu iangalien kwa mkini wadau
 
Hii ni hatari bango halionyeshi mkutano au maandamano kama ilivyo ada, huo ni uzushi, huyo Eddo atukome kabisa na unafiki wa kisiasa. Hapo sio SIDO ni ofisi za magamba soko matola mbeya
 
Hii ni hatari bango halionyeshi mkutano au maandamano kama ilivyo ada, huo ni uzushi, huyo Eddo atukome kabisa na unafiki wa kisiasa. Hapo sio SIDO ni ofisi za magamba soko matola mbeya
Narudia siku hiyo mimi nilikuwepo,hakikutokea kitu kama hicho,lakini kuhusu ugomvi wa Eddo na Mwambigija,ni upuuzi alioufanya Dr,Slaa.wekeni ktk kumbukumbu zenu ipo ck tutamwelewa Eddo!
 
Back
Top Bottom