Elections 2010 Mwenyekiti wa chadema kuhamia ccm huko ndiko kunakomfaa

Jan 16, 2007
721
176
MICHUZI
Kuna usanii mwingine hauwapi wala kuwaongezea sifa au kuwapandisha chati CCM bali kunaendelea kukidhalilisha CCM na Rais JK. Hivi kweli sababu alizozitoa huyu mwenyekiti Ex CHADEMA kukihama chama niza msingi "KUNYIMWA PESA ZA MATIBABU NA CHADEMA BAADA YA KUANGUKA NA PIKIPIKI"Alikua CHADEMA KWA MASILAHI YAKE BINAFSI AU KUWATUMIKIA WANANCHI.JE WALE ALIOKUA AKIWAONGOZA WAKIANGUKA NA PIKIPIKI PIA WASAIDIWE NA CHAMA?JE SASA HUKO CCM UKIPIGWA NA MKEO NA KUVUNJWA MKONO CCM INAPASHWA KUKUSAIDIA KATIKA MATIBABU?NI WATANZANIA WANGAPI WANAOTESEKA KWA MIAKA 49 YA UTAWALA WA CCM WAKIMBILIE WAPI?SABABU ULIZOZITOA NA HUKU ULIKO HAMIA KUNAKUFAA SERA YAKO INAOANA NA CHAMA HUSIKA CCM KUJALI VIONGOZI AU WATAWALA NA FAMILIA ZAOSIO WALALAHOI MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
You know what....maisha yamekuwa magumu sana na yanafanya watu wawe kama wendawazimu muda wote!
This guy was living in CHADEMA with hopes and dreams of changing life overnight!
Siasa za Bongo hizi zinataka uvumilivu...anaweza akaenda huko akakarahishwa zaidi!
 
I they say: Good bye and don't let the door hit you on your way out! Afadhali mafisadi watarajiwa waondoke Chadema mapema kabla hawajaingia madarakani....
 
Kuna shida katika mindset ya JK.

Angeacha kabisa hii biashara ya kupokea wanaodaiwa wanahamia CCM maana hana uhakika kama watakaa, na kama kweli wanahama au janja ya viongozi wa eneo hilo kumdanganya kuwa wanafanya kazi nzuri.

Gazeti la Raia Mwema wiki hii limeeleza alivyodanganywa wiki iliyopita kule Mbeya pale aliyedaiwa M/Kiti wa Chadema alipohamia CCM na kukabidhi kadi 400. Ikaja kugundulika kuwa ni kadi za zamani zilizoachwa na wanachama walipokuwa wanabadili kadi ili kupata kadi mpya za Chadema! Hii biashara mbaya sana.
 
c1.jpg
c1.jpg
c1.jpg
c1.jpg

mwenyekiti wa CHADEMA alipokuwa akiaga na kujiunga na CCM
pencil.png
 
Kuna shida katika mindset ya JK.

Angeacha kabisa hii biashara ya kupokea wanaodaiwa wanahamia CCM maana hana uhakika kama watakaa, na kama kweli wanahama au janja ya viongozi wa eneo hilo kumdanganya kuwa wanafanya kazi nzuri.

Gazeti la Raia Mwema wiki hii limeeleza alivyodanganywa wiki iliyopita kule Mbeya pale aliyedaiwa M/Kiti wa Chadema alipohamia CCM na kukabidhi kadi 400. Ikaja kugundulika kuwa ni kadi za zamani zilizoachwa na wanachama walipokuwa wanabadili kadi ili kupata kadi mpya za Chadema! Hii biashara mbaya sana.
siasa mchezo mchafu
 
mwacheni atumie demokrasia yake.... yeyey ameanguka na pikipiki akahama, sijui akuanguka na gari ccm atahamia demokrasia makini???
 
Baregu leo kwenye mdahalo na Kinana kule bbc kasema watanzania wengi bado ni wajinga wana sisi m karibu wamuue hapa jf. Lakini huo unabaki ni ukweli. Haya yanayotokea kama ya mwenyekiti huyu maslahi yanathibisha hilo.

Shida ni lie ile wana sisi m ukiwambia ukweli unageuka kuwa tusi. Wao sijui kwao tusi ni lipi na ukweli ni upi!
 
Mkuu si vema ku-generalise mambo..............watu husoma na kuchambua na hatimaye huwa na mitizamo tofauti.............na mtu mwenye mtizamo tofauti na Chadema/Baregu.......... in this case SI lazima awe "sisi m" ..............
 
MICHUZI
Kuna usanii mwingine hauwapi wala kuwaongezea sifa au kuwapandisha chati CCM bali kunaendelea kukidhalilisha CCM na Rais JK. Hivi kweli sababu alizozitoa huyu mwenyekiti Ex CHADEMA kukihama chama niza msingi "KUNYIMWA PESA ZA MATIBABU NA CHADEMA BAADA YA KUANGUKA NA PIKIPIKI"Alikua CHADEMA KWA MASILAHI YAKE BINAFSI AU KUWATUMIKIA WANANCHI.JE WALE ALIOKUA AKIWAONGOZA WAKIANGUKA NA PIKIPIKI PIA WASAIDIWE NA CHAMA?JE SASA HUKO CCM UKIPIGWA NA MKEO NA KUVUNJWA MKONO CCM INAPASHWA KUKUSAIDIA KATIKA MATIBABU?NI WATANZANIA WANGAPI WANAOTESEKA KWA MIAKA 49 YA UTAWALA WA CCM WAKIMBILIE WAPI?SABABU ULIZOZITOA NA HUKU ULIKO HAMIA KUNAKUFAA SERA YAKO INAOANA NA CHAMA HUSIKA CCM KUJALI VIONGOZI AU WATAWALA NA FAMILIA ZAOSIO WALALAHOI MUNGU IBARIKI TANZANIA
unajua njaa kwake tumboni, maana tumbo ni kwa chakula. lakini hata ccm watu wa namna hiyo huwapenda kuwatumi akama ngamia
 
Back
Top Bottom