Mwenyekiti wa CHADEMA kata na wana magwanda 15 wajiunga na CCM

Havina tofauti yote magazeti ya chama cha mapinduzi!

Habari Leo sio gazeti la chama. Ni la serikali. Tumekuwa tukichanganya sana mambo ya chama na serikali na ndio ikasababisha mali za serikali kuporwa na chama. Mfano ni viwanja vya mpira!
 
Habari ndiyo hiyo hata kama hautaki. Wamegundua ukweli uko wapi. Na kama hautaki wewe mwambie tu MOD ataiondoa hiyo thread.

Ni haki yao kikatiba! Sikiliza mziki wa Ole Milya kule Simanjiro! KENGEMUMATOPE!
 
Wewe wa wapi? Uko kijj gan? Au unaingia jf kila baada ya wik? Dogo tuliza akil just think twice ccm imeshalala zaman..
 
Wana haki kuhama, lakini wamerudi CCM hao wanajambo moyoni, heri wangeenda CUF, NCCR, lakini kwakuwa ni haki yao kikatiba acha waondoke
 
Nasari hawezi kushinda tena ubunge 2015.hali hii ya watu wake wa karibu waliompigania kuanza kurudi kwenye kundi lao la zamani inawasha taa nyekundu kwa kijana,ajitathmini.
 
Back
Top Bottom