Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kutua Houston Tx USA

Another mistake! Hiyo tarehe ni siku ya sensa, ina maana yeye hatahesabiwa? Kwa mtu mzito kama yeye alitakiwa kuwa mfano tena awe wa kwanza kuhesabiwa katika eneo analoishi/atakaloamkia.

CHADEMA wanatakiwa kujiepusha na kila hila inayoweza kutumiwa na magamba. Magamba ni lazima wataitumia hii kama turufu ya kisiasa na kwa uelewa wa watu wetu lazima wata-win baadhi...

Kama watu hawaruhusiwi kusafiri, serikali isimamishe safari zote za kwenda nje ya nchi.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anatarajiwa kukutana na Watanzania waishio Houston TX tarehe 25 august 2012 Jijini Houston.

Naona ameanza kupiga jaramba la kupokea kijiti kwa JK. Amu sore padre kisukari this time shimboni shafo.

Ngaja.... Mkuu dudus tatizo naona awajakupata point yako ya msingi nashauli walejee tena then watafakali kabla ya kupost tambua siasa ni mchezo mchafu sana watatafuta kila njia kukumaliza cha msingi kusoma nyakati za majira M4C ni chama kinachopendwa kwa sasa then kinajijenga kipindi cha upinzani wa vyama vingi mistake ndogo ndio chakula kwa wengine then washibe wapate mwanya wa kukumaliza zaidi mkumbuke magamba ulijijenga kipindi upinzani wa vyama vingi haupo hapa tanzania TAFAKARI CHUKUA HATUA

Pamoja sana Mkuu. Naona umeipata point yangu vizuri sana.

In short, nilichomaanisha ni hiki: Ni kweli haiwezekani watanzania wote wahesabiwe, wala haiwezekani watanzania wote wasisafiri siku ya sensa; lakini kama turufu mojawapo ya kisiasa ilikuwa muhimu kwa Mwenyekiti kuwepo nchini na ashiriki zoezi la sensa na atoe maneno mawili matatu kwa waandishi wa habari baada ya yeye na familia yake kuhesabiwa. Ni kitu kidogo sana lakini impact yake kisiasa ni kubwa.

Hata M4C huko vijijini nasikia inahamasisha sana watu kujitokeza siku ya sensa ili wahesabiwe ambalo ni jambo jema na turufu muhimu. Sometimes tuache unazi usiokuwa na control bila kuelewa mantiki ya mtoa hoja.

hiyo misaada wanayoenda kuomba huko wacje wakatuletea sheria za ushoga kama malawi maana kule hawatoi misaada bila masharti hayo,na hapo hamjapa uongozi wa nchi mmeanza kuombaomba halafu mnamsema jk kweli nyani haoni ...

Mkuu mimi nimetoa ushauri tu, sina la zaidi. Nilichosema ni kwamba KWA UELEWA WA WATU WETU hilo laweza kutumika kisiasa. Kuna sababu gani ya ku-commit mistakes halafu baadaye utumie muda mwingi kukanusha au kuelimisha wananchi?

Vitu vidogo vidogo kama kauli za kawaida (Ref. Nasari and Mzee Mtei), n.k. yamekuwa yakiwagharimu sana CHADEMA. Ni lazima watambue kama kuna "the most wanted either dead or alive" hapa nchini kwa muda huu basi ni CHADEMA.

Kauli, matendo, na lolote lifanywalo iwe na viongozi au wanachama yanafuatiliwa kwa kila namna ili kutafuta KASORO kwa ajili ya propaganda; na bahati mbaya kwa watanzania tulio wengi kwa hulka ya ushabiki tulio nao, kufuata mkumbo, na uduni wa elimu na uelewa wetu propaganda hizi hukamata wengi.

NO! Siyo siku hizi tumekwisha janjaruka,ingawa kwenu nyie propaganda kama hizi huwa munaona zina mashiko

Mkuu nakubaliana sana na wewe. Tatizo ni tafsiri ya neno "mtu". Mbowe ni "special" mtu na kila afanyalo lina athari kubwa kwa chama either positively or negatively na adui daima hupenda kutumia mianya ya kipuuzi kama hii; sote tunajua siasa za nchi yetu.

Sensa ni jambo kubwa hutokea mara moja kila baada ya miaka kumi zaidi hata ya uchaguzi mkuu. "Ingekuwa Uchaguzi Mkuu angeenda Marekani?"; adui atahoji na wengi watamwamini! Ingekuwa ni mimi au "mtu" mwingine wa kawaida kasafiri wala tusingejali au kuhoji lakini sio Mwenyekiti. Huyu ana nafasi ya pekee na adhimu - kila mtu anamtazama na kufuatilia nyendo zake akiwepo adui!
Umechanganyikiwa sana,yani MBOWE asisafiri kwa kuogopa uzushi na propaganda chafu? we kama unaogopa uongo kaseme ukweli uone kama wataendelea na uongo,kwa taarifa yako MBOWE aogopi uongo na yupo kwa kujibu ukweli

NO! Siyo siku hizi tumekwisha janjaruka,ingawa kwenu nyie propaganda kama hizi huwa munaona zina mashiko

tena mkuu tumeziba pamba masikio yote na wala hatusikii la mchota maji wala la muadhini! na haki ya Mungu kwa kazi tunayoifanya darasani ya kupandinkiza fikra za ukombozi kwa wanafunzi, ccm ikipona 2015,naacha ualimu!

safari njema kamanda! siku hizi tumeziba pamba masikio yote mawili na hatusikii la mchota maji wala la muadhini! haki ya Mungu kwa kazi tukufu tunayoifanya darasani ya kupandikiza fikra za ukombozi chama cha nape kikipona 2015, naacha ualimu!

NO! Siyo siku hizi tumekwisha janjaruka,ingawa kwenu nyie propaganda kama hizi huwa munaona zina mashiko

tena mkuu tumeziba pamba masikio yote na wala hatusikii la mchota maji wala la muadhini! na haki ya Mungu kwa kazi tunayoifanya darasani ya kupandinkiza fikra za ukombozi kwa wanafunzi, ccm ikipona 2015,naacha ualimu!

safari njema kamanda! siku hizi tumeziba pamba masikio yote mawili na hatusikii la mchota maji wala la muadhini! haki ya Mungu kwa kazi tukufu tunayoifanya darasani ya kupandikiza fikra za ukombozi chama cha nape kikipona 2015, naacha ualimu!

Mkuu mimi nimetoa ushauri tu, sina la zaidi. Nilichosema ni kwamba KWA UELEWA WA WATU WETU hilo laweza kutumika kisiasa. Kuna sababu gani ya ku-commit mistakes halafu baadaye utumie muda mwingi kukanusha au kuelimisha wananchi?

Vitu vidogo vidogo kama kauli za kawaida (Ref. Nasari and Mzee Mtei), n.k. yamekuwa yakiwagharimu sana CHADEMA. Ni lazima watambue kama kuna "the most wanted either dead or alive" hapa nchini kwa muda huu basi ni CHADEMA.

Kauli, matendo, na lolote lifanywalo iwe na viongozi au wanachama yanafuatiliwa kwa kila namna ili kutafuta KASORO kwa ajili ya propaganda; na bahati mbaya kwa watanzania tulio wengi kwa hulka ya ushabiki tulio nao, kufuata mkumbo, na uduni wa elimu na uelewa wetu propaganda hizi hukamata wengi.

I concur with you!

Another mistake! Hiyo tarehe ni siku ya sensa, ina maana yeye hatahesabiwa? Kwa mtu mzito kama yeye alitakiwa kuwa mfano tena awe wa kwanza kuhesabiwa katika eneo analoishi/atakaloamkia.

CHADEMA wanatakiwa kujiepusha na kila hila inayoweza kutumiwa na magamba. Magamba ni lazima wataitumia hii kama turufu ya kisiasa na kwa uelewa wa watu wetu lazima wata-win baadhi. Be careful you guys.
hivi wewe unafikiri siku ya sensa watu hawasafiri? Na ambao tayari wako nje je? hivi unafikiri watu wote watakuwa majumbani mwao usiku huo? wacha watu wasafiri bana. idadi ya watu tayari tunaijua!

Mkuu wangu KISIASA hao wooooooooooooote uliowataja "hawana faida yoyote" kama Mbowe au Slaa mmoja. "Kosa" dogo la Slaa au Mbowe ni muhimu sana kisiasa kwa magamba kuliko maelfu wanaokufa kwa kukosa matibabu.
Sijui kama nimeeleweka.

mkuu labda ungefafanua ni propaganda gani ambazo ccm unahisi wanaweza kutumia endapo mh. Mbowe hatasebiwa,akiwa nje ya nchi.?

Mikataba mingine hiyo, tena ameenda kwenye makampuni ya mafuta. Akipewa bilioni 5 anatoa mkataba wa bilioni 100 yote kufanikisha mpango wake.

Safari njema kamanda mkuu, sauti ya zee, mzee wa anga...We are supporting you, M4C mpaka kieleweke!
Akisafiri kikwete mnasema omba omba anazungusha bakuli majuu,akisafiri mbowe mnasema M4C mpaka kieleweke.kwanini bakuli la mbowe halitajwi?

UFUNGUZI WA TAWI LA CHADEMA JIJINI HUSTON TX.

Tunapenda kutoa habari hizi kwa waTanzania wote na wapenda maendeleo, Siku ya Jumamosi Aug 25 kutakuwa na ufunguzi rasmi wa tawi la chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Jijini Houston Texas Nchini Marekani

Wageni rasmi wa ufunguzi wa tawi hilo ni Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Joseph Mbilinyi (Mr. 2/Sugu)

Sherehe za ufunguzi wa tawi hilo zitaanza mida ya saa 5:pM (Jioni)

View attachment 61966

Sasa hivi Nape atasema wanauza nchi kwa sababu ina mafuta..yeye hasemi mkit wake kila siku yuko angani hilo halioni!!!

Back
Top Bottom