Mwenyekiti wa CCM na Balozi wa Mtaa Sing'isi warudisha kadi na kuhamia CDM Arumeru

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
Ilikuwa mida ya Saa Kumi wakati CDM wakifunga mkutano eneo la Sing'isi,Mwenyekiti wa Tawi CCM na Balozi wa Mtaa wamemkabidhi kadiza CCM Dr W.Slaa na kupewa kadi za CDM.

Ilikuwa ni shamrashamra kwa wana Kijiji kwani walionekana kuchoshwa na ahadi hewa za CCM na kuamua kuWaunga Mkono viongozi wao walioamua kuhamia CHADEMA.

Nawasilisha...
 
Kweli CCM Arumeru imechokwa sana na bado tarehe 01.04 wananchi watakapokataa tena katika sanduku la kura.


Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.
 
Aisee safi sana makamanda wangu! Wao wanapesa sisi tuna Mungu anayetupigania.
 
Sing'isi kama kawa kula ccm kura chadema karibu sana kamanda Manang cdm.

Waache waendeleee kurudisha fedha walizokwiba kutokana na ufisadi na nawasihi wananchi wasiziache kabisa. Ni fedha za bure kabisa.

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.
 
A taste of things to come! Na wakiiba ndio watatibua nyongo za watu, afadhali wakubali matokeo wale waliyokwisha iba.
 
viongoz wa juu wameshindwa kujivua gamba,ngoja waonyeshwe wanachopaswa kufanya
 
Kazi ya kuwavuta wananchi wa kawaida pamoja na wanachama wa vyama vingine hasa wa ccm imekuwa ikifanyika vizuri na kuonyesha mafanikio.
Angalizo langu ni viongozi kutobweteka na idadi ya wanaccm wanaohamia chadema bali wajizatiti kulinda ushindi wetu, kwani ccm wanajipanga vizuri sana kupata pointi za mezani, wameshagundua dimbani hawawezi kupindua!
 
kwa pichaza kikatiti. ni balaaaaa. Nyie wengine bakini na analysis hewa humu JF
 
Back
Top Bottom