Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga akiaga miili ya askari waliofariki ajalini msafara wa Dr Bilal

mmbangifingi

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,839
559
P1030373[2].JPG P1030340[1].JPG P1030339[1].JPG download (37)[2].jpg IMAG3204[1].JPG

Mwenye kanzu,,mwenyekiti wa ccm Mkoa Tanga Mussa Shekimweri akiuaga miili wa marehemu waliofariki katika ajali,picha mbili ni za askari hao Cpl Kangaga na Pc Nyang'ombe (RIP),sambamba na za gari iliyopata ajali.(MICHUZI)
 
Wakuu huyu Bilal yeye hakusimama hata kujua kumetokea nini au arudi kuja kuaga ?
 
Wakuu huyu Bilal yeye hakusimama hata kujua kumetokea nini au arudi kuja kuaga ?

Cha kushangaza na hata kwenye Msiba hajatokea. Maaskari wote Tanzania wamebaki wakiwa kwa kitendo hiki cha watawala wa CCM!

 
Back
Top Bottom