Mwenyekiti wa CCJ, Richard Kiyabo avamiwa

Bila ubishi hawa watakuwa ni wapinzani na wasioipenda CCJ wanajua kuna mabadiriko yanakuja ..hivyo wanatafuta kila namna ya kupanga mashambulizi
 
Huyu Mwenyekiti msimshangae jamani alikuwa anatembea kwenye JAMII yake. Na hiyo ndiyo JAMII yake. Mimi nampongeza,
 
Mw/kiti,
Be careful wewe ni mheshimiwa sasa hivi na umeshawapiga wenzio za uso kwa hiyo suala la usalama kuwa hatarini sio ajabu. Viongozi wote wa kitaifa wana maadui na ndio maana wanakua na system ya ulinzi. CCJ wanatakiwa wakupatie ulinzi.
 
Pole Mr. Chairman! We learn through mistakes. Sidhani kwamba next time anaweza kuvamiwa kirahisi!
 
Back
Top Bottom