Mwenyekiti wa BAVICHA atoa onyo kali kwa viongozi wa serikali akiwemo mkuu wa wilaya ya Igunga

Mkwala mbuzi tu huo... Hata body language yake inaonesha haamini anachokiongea!
 
Kweli Tanzania ni kiboko, yani hata huyo lofa na yeye anachimba biti?
 
Sasa wewe Heche, shule yenyewe hamna wewe kila kitu kufoka nashangaa hata huo uongozi wa Bavicha ulipataje.
Wewe huna unachokijua zaidi ya kufoka foka hovyo jazba kila wakati na kuvaa Magwanda kila siku.
Unapiga mkwala wakati bado unakaa kwa kaka yako pale Sinza Mori
 
Mambo ya kukaa kwa kaka yake hayana uhusiano wowote na statement yake nyie ibeni hizo kura safari hii kama mlivyozoea muone kama ni mkwala mbuzi.
 
Mambo ya kukaa kwa kaka yake hayana uhusiano wowote na statement yake nyie ibeni hizo kura safari hii kama mlivyozoea muone kama ni mkwala mbuzi.
Hivi wewe kama ni mtu na akili zake kweli unaamini huyo mpuuzi anauwezo wa kufanya chochote zaidi ya kupiga domo?
 
Nilishasema bila kudundana hatukakaa tuheshimiane milele, Kenya kwa sasa wameonja machungu na wanaheshimiana. mambo kama haya bila kudundana hayatakaa yaishe. dharau kila kona kisa eti kila kitu ni chao so they can do whatever they want and CDM has to keep quite kulinda amani na utilivu - Tulia uliwe phylosophy.
 
Hivi wewe kama ni mtu na akili zake kweli unaamini huyo mpuuzi anauwezo wa kufanya chochote zaidi ya kupiga domo?
Hata Gaddafi aliwaambia wale wahuni wa Benghazi kuwa atawasagasaga kama panya leo haamini, inawezekana na wewe huamini vile vile.
 
Eti wakuu wa Wilaya, mikoa wote ni makada wa Raisi na polisi nao hivyohivyo. Bila kuipigania haki haiwezi kupatikana kabisa. Hata wanajeshi wale wa hali ya chini nadhani ukweli mnauna jinsi ccm inavyohujumu mambo, sasa moto lazima uwake, wananchi wa sasa wameshajua siasa za ccm kufanyia fitina tena ni kwa CHADEMA TU. Hatuwezi kukubali mpaka kieleweke.
 
Hizzi kampeni zimekuwa balaa kwa wanaigunga wamevamiwa na wahuni wanaotaka kuhatarisha Amani, sasa watu tutakuwa tunachukia uchaguzi , kama vurugu na chuki ndio kama hivyo, hatuwezi kufanya mambo yetu kistaarabu, mimi naamini shetani kaingilia nchi yetu na inabidi akemewe kwa jina la yesu pepo toka!
 
Hiki ni chama cha kutangaza vita? hata vitabu vya dini vinasema watiini walioko kwenye mamalaka!
<br />
<br />
Hata kama wanakuburuza na kukukandamiza makusudi.? Maandiko yanasema mamlaka zinazotoka kwa Mungu ndo za kuheshimiwa..Huu utawala wa CcM unaongoza kwa nguvu za majini na mapepo. Katu siwezi kutii nguvu za Mapepo.! Mshindwe kabisa CcM.
 
kabla ya kushabikia saaana.....just imejini ndo angekuwa mama yako mzazi kadhalilishwa vile ungejisikiaje (no matter ni mchawi malaya n.k na unajua)? chukulia kwamba ndo unarudi nyumbani kutoka kwenye mihangaiko yako unafika nyumbani unakuta ur mom anafanyiwa kile alichofanyiwa dc ungechukua hatua gani? hapa ndipo ninapoanza kuamini taasisi kama TGNP ni vyama vya kisiasa zaidi kuliko vile wanavyojipambanua.....coz kama ingefanywa na ccm lazima wangelaani sana.akina mama wa Tanzania mnatakiwa kulaani vikali udhalilishaji huu coz mkinyamaza kesho hawa wahuni wataanzisha vita na watawabaka na kuwadhalilisha kwa kadri wawezavyo! nina ombi kwa viongozi wa cdm, pls tupo wengi ambao tunatamani kuona mnakamata dola lakini kwa matukio kama haya yanatufanya tuhoji uwezo wenu wa kusimamia sheria pa1 na haki za kibinadamu. is this the way u r going to treat wavunjaji wa sheria? pls jitengeni na uovu huu..........

Ukitaka kutoa mfano uwe unashabihiana na tukio lenyewe na sio kuleta ndoto zako hapa. Mama wa kweli wa kulinganisha na mama zetu anatakiwa awe anajua sheria na taratibu na kuzifuata bila kuzipindisha wala kukiuka. Huyu DC hafahi kulinganishwa na mama makini onewe huruma. Kina mama wa kuonea huruma ni wale waliogandandamizwa na mfumo wa kiunyonyaji wa chama chenu cha magamba aka chukua chako mapema na ktk kujitafutia riziki yao wameamua kufanya biashara ndogondogo kama kuwa mama ntilie. Angalia kila uchao wanafukuzwa na mgambo na kunyanganywa vyakula na vitendea kazi vyao. Wanavuliwa nguo, wanacharazwa viboko na ktk kuwakamata jinsia ya mgambo ni wa kiume. Hawa ndio wa kuwalilia sio dc anayetumwa kuwa mamluki wa ccm.

Halafu Watanzania wenye mapenzi mema huu ni wakati wa kuonyesha serikali, ccm na vyombo vya dola kuwa mbele ya haki hamna cheo. Watanzania tuliokuwa wengi haki yetu inadhulumiwa lakini hatusikii kelele kama za kina Nape. Wasichana wangapi wamenyimwa haki zao na kuishia kuuza miili yao ili wapate kuishi. BBC wiki inaishia leo imerusha hewani kipindi kinachoonyesha mama anayefuga watoto wa kike mithiri ya punda wakijihusisha na bishara ya ngono. Hawa ndio wa kulilia sio dc wa Igunga mamluki. Tukitaka kujenga hoja tunatakiwa kufukiria umbali wa pua zetu. Kina mama wengi wanadhalilika lakini sio dc aliyetoloewa nje kwa ustaraabu halafu watu wankuza kitendo hicho.
 
kabla ya kushabikia saaana.....just imejini ndo angekuwa mama yako mzazi kadhalilishwa vile ungejisikiaje (no matter ni mchawi malaya n.k na unajua)? chukulia kwamba ndo unarudi nyumbani kutoka kwenye mihangaiko yako unafika nyumbani unakuta ur mom anafanyiwa kile alichofanyiwa dc ungechukua hatua gani? hapa ndipo ninapoanza kuamini taasisi kama TGNP ni vyama vya kisiasa zaidi kuliko vile wanavyojipambanua.....coz kama ingefanywa na ccm lazima wangelaani sana.akina mama wa Tanzania mnatakiwa kulaani vikali udhalilishaji huu coz mkinyamaza kesho hawa wahuni wataanzisha vita na watawabaka na kuwadhalilisha kwa kadri wawezavyo! nina ombi kwa viongozi wa cdm, pls tupo wengi ambao tunatamani kuona mnakamata dola lakini kwa matukio kama haya yanatufanya tuhoji uwezo wenu wa kusimamia sheria pa1 na haki za kibinadamu. is this the way u r going to treat wavunjaji wa sheria? pls jitengeni na uovu huu..........
<br />
<br />
WEWE UNASEMA mbona umechelewa sana Huko Arusha katika harakati za kudai haki February Mama Slaa alifanyiwa nini na Polisi? umasahau? jE ule haukuwa udhalilishaji? Je ule pale haukupaswa klaaniwa mkuu wa wilaya alikuwa anatengeneza mazingiara ya kutofanya haki ambayo nikisababishi kikubwa sana cha machafuko,alistahili kwanza alikamatwa kistaarabu kwasasa hatuogopi mtu madhalimu yeyote asiye na hekima na kwa tutaheshimu mtu yule anayeheshimu utu na haki ya Mtanzania.HATUTA KUBALI KUCHAKACHULIWA TENA,HATUTAKUBALI KUONA HAKI ZATU ZIKIPOKONYWA NA WATU WANAOJIITA WANA MAMLAKA,iwe ni mwanamke au mwanaume au kijana. NI MOJA UKITAKA HESHIMA UJIHESHIMU
 
CHA MSINGI msifikirie eti huo ni mkwala wa HECHE laa hasha,hiyo ni kauli ya vijana wote Watanzania wenye akili timamu waliochoshwa na udhalimu wa CCM,CCM iendele imetupotezea matumaini kwasasa tunalo moja kudai HAKI ZETU na kutafuta nani anaficha haki zetu jua tuu PROPAGANDA nyingi zitapigwa ila kwetu ni moja tunataka HAKI hatuwezi kuwa wapole wala wakimya endapo nchi hii inaendeshwa kwa kupotoshwa tunaujuaa ukweli na hatuwezi kuadnganywa kwa maneno ya kupita.

Vijana ni wengi wako mitaani hawana ajira hali wageni wanakula kuku kwa raslimali za nchi hii,HILI NDILO JESHI KUBWA AMBALO lina msaport HECHE matsema sana lakini mjue moja kuwa vijana wako kazini kuondoa Serikali ya kidhalimu,isiyo na uzalendo. kwa sasa maisha yetu hayana uthamani kuliko Tanzania yenye matumaini.
 
Back
Top Bottom